Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hata kwetu ilikuwa hivo hivo.. sema dogo alisema mama kuni inaingia shimoniMwaka 2000 wanafamilia tulipatwa na hofu mara baada ya kumuona mdogo wetu aliyekuwa na umri wa miaka 2 akimshika kobra('Nyamwilu' kwa kihehe),kisha kumvuta mkia huku akisema "Mama inzagala yigenda" kwa tafsiri ya Kiswahili kisicho fasaha ni "Mama kuni inatembea".
Babu yetu akatuambia msimsogelee hawezi kumdhuru. Na mwishowe yule nyoka aliishia kumnusa tu na kutokomea porini.
Safi sanaSio kweli inategemea kama mtoto atamshambulia nyoka, sikuzote nyoka mashambulizi yake ni kwa adui na mawindo ya chakula haijalishi ni nani.
Nyoka anaweza kushambulia yoyote yule hana formula kwamba ni mtoto au mtu mzima inategemea na aina ya nyoka, mazingira, na vitisho vya mtu kwa nyoka.
Asante sana
Mtoto akimuona mnyama au mdudu humchukulia kama rafiki hawazi kumdhuru vivyo hivyo kwa mnyama pia hawezi kumdhuru kiumbe ambacho hakina habari (hata mtu mzima akiwa amelala hawezi kung'atwa) ila mtu mzima lazima aogope na awaze kumdhuru vivyo hivyo mnyama lazima ajihami kwa kung'ata au kushambulia.Kuna clips nyingi Mitandaoni huonyesha watoto wadogo wakichezea kiumbe hatari .....aka Mr snake iwe koboko au wengine mara nyingi watoto wanakuwa unharmed na hao Nyoka Je sababu
Haya ni baadhi ya majibu yasiyo rasmi
"Nyoka anakudhuru kwa harufu unayoitoa unaposhikwa woga ambayo yeye anajua tayari huyu ni adui mbona amestuka sasa mtoto hatoi hiyo harufu maana hakuna yoga ndani yake wakati huo anaona ni rafiki wa kucheza nae[emoji54] eeeeh sina uhakika sana"
Je kisayansi hii Ina maanisha nn???View attachment 3375969
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hata mama mjamzitoMtoto mdogo ambaye hajaota meno hang'atwi na nyoka.
Niliwahi kumkuta mdogo wangu anayenifuata akiwa anacheza na nyoka na nyoka yule hakumdhuru,wakati huo alikuwa bado hajaota meno.
Kwann nyoka anakimbia ukimshika mkiaHizo ni hekaya tu. Nyoka wanaua watoto kama kawaida.
Kinachopelekea nyoka kukushambulia ni pale anapohisi wewe ni hatari kwake.
Kwahiyo kama mtoto mdogo ataonekana kuwa tishio kwa nyoka, basi nyoka huyo atashamshambulia.
Kwa mfano akimshika mkia na kumvuta wakati nyoka anajaribu kuchoropoka na kukimbia basi nyoka atageuka na kumshambulia mtoto.
Nyoka Ana vyakula vyake mkuu hasa hawa nyoka wadogo kumgonga mtu ni no way outKama chakula.chake ni wewe
Nyoka wengi hawapendi kuwa karibu na viumbe wasiowazoea. Wanakuona wewe kama hatari kwao.Kwann nyoka anakimbia ukimshika mkia
Kwetu wanyama huwa tunawaangalia vizuri tu. Sema kitu nilichokuwa nafanya ni kumshtukiza kama amekaa sehemu kalala nakwenda na kumshika huku nipiga kelele ''puuuuu''. Au kwa bahati mbaya nakanyaga mkia wake wakati anakula.Ulikua unazidisha uchokozi wako,lkn pia inategemea na jinsi mnavyomtunza huyo paka.
Mfano,paka hapewi chakula nyumbani kwa madai kwamba anajitafutia,hapo huyo hafugwi,bali anazengea tu kwa hiyo hakuna kuzoeana.
Mkuu sawa sawaNyoka Ana vyakula vyake mkuu hasa hawa nyoka wadogo kumgonga mtu ni no way out
Muda mwingi na wa masaa mangapi?ndo maana anaweza kucheza nae mda mwingi.
ππππππIna semekana nyoka hakuna kitu Kinamkera Kama kutumia sumu yake hovyo
Hata mwaka mmojaπππMuda mwingi na wa masaa mangapi?
Ila jamiiForums unanifurahisha sana ππ.
Nyoka mtoto pia nae hama madhara kama nyoka mkubwaKama nyoka nae ni mtoto atakua na akili ya kujua huyu ni mtoto au mtu mzima
Mbna Sasa ana bite watuIna semekana nyoka hakuna kitu Kinamkera Kama kutumia sumu yake hovyo
Kama kumg'ata mtu nk
Mala nyingi nyoka hupenda kutumia sumu yake kwa ajiri ya mawindo yake pekee/chakula sio vinginevyo
Lkn Kuna muda mtoto anashika kichwa Cha nyokaNyoka anamgonga mtoto endapo atakanyagwa
Duuuuh bila shaka Hali ilikuwa teteMwaka 2000 wanafamilia tulipatwa na hofu mara baada ya kumuona mdogo wetu aliyekuwa na umri wa miaka 2 akimshika kobra('Nyamwilu' kwa kihehe),kisha kumvuta mkia huku akisema "Mama inzagala yigenda" kwa tafsiri ya Kiswahili kisicho fasaha ni "Mama kuni inatembea".
Babu yetu akatuambia msimsogelee hawezi kumdhuru. Na mwishowe yule nyoka aliishia kumnusa tu na kutokomea porini.