Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Basi ilikupasa kukinywea kikombe kwa sababu ya makosa yako.Kwetu wanyama huwa tunawaangalia vizuri tu. Sema kitu nilichokuwa nafanya ni kumshtukiza kama amekaa sehemu kalala nakwenda na kumshika huku nipiga kelele ''puuuuu''. Au kwa bahati mbaya nakanyaga mkia wake wakati anakula.
Nyoka anammeza kabisa mtoto.Upuuzi mtupu 😂
KweliNyoka ktk biblia anawakilisha shetani na mtu mzima ana ushetani mwingi. Sasa mara nyingi fahari wawili hawakai zizi moja. Watoto wao bado wana utukufu na utakatifu.
Hongereni, ni jambo la kumshukuru Mungu .Kihusu ushari wa koboko nakubaliana na wewe. Lakini huwa hashambulii kila wakati.
Nakumbuka mwaka 2017, nilikuwa na mzee tukielekea mashambani, basi mimi sina hili wala lile; nikashangaa mzee kanizuia kwa mkono pasi na kusema chochote. Akaniashiria niangalie mbele na nisigeuke. Bonge la joka la kijivu na kichwa chake kidogo, urefu wake ni kama mita 3 au 4 hivi kilichochongoka! lilikuwa limeinua nusu ya kiwiliwili chake likifanya scanning kwenye nyuso zetu. Lilipoona tumetulia likashusha kiwiliwili chake na kuondoka kwa kasi ya ajabu mithili ya risasi. Huyo kule uheheni tunamuita Nyamuhandu, ninyi wazungu mnamuita black mamba.
Rest in peace mzee, uliniokoa siku ile.
😄😄😄😄 Kuni inatembea ebwanaee hii Aina TOFAUTI na Yale mavifuu yanatembea.Mwaka 2000 wanafamilia tulipatwa na hofu mara baada ya kumuona mdogo wetu aliyekuwa na umri wa miaka 2 akimshika kobra('Nyamwilu' kwa kihehe),kisha kumvuta mkia huku akisema "Mama inzagala yigenda" kwa tafsiri ya Kiswahili kisicho fasaha ni "Mama kuni inatembea".
Babu yetu akatuambia msimsogelee hawezi kumdhuru. Na mwishowe yule nyoka aliishia kumnusa tu na kutokomea porini.
Watoto wana utukufu = NuruNyoka ktk biblia anawakilisha shetani na mtu mzima ana ushetani mwingi. Sasa mara nyingi fahari wawili hawakai zizi moja. Watoto wao bado wana utukufu na utakatifu.
Ashuo 😏Nyoka anammeza kabisa mtoto.
Kisayansi Iko hivi:-
A baby is born good (pure) but is getting defiled by the environment (people around it) in the course of it's life.Watoto wana utukufu = Nuru
Watu wazima = Ushetani.
Tangu lini nuru na giza vikachangamana?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Watoto ni malaika hawana dhambiKuna clips nyingi Mitandaoni huonesha watoto wadogo wakichezea kiumbe hatari aka Mr snake iwe koboko au wengine mara nyingi watoto wanakuwa unharmed na hao Nyoka. Je, sababu ni nini?
Haya ni baadhi ya majibu yasiyo rasmi
Nyoka anakudhuru kwa harufu unayoitoa unaposhikwa woga ambayo yeye anajua tayari huyu ni adui mbona amestuka sasa mtoto hatoi hiyo harufu maana hakuna yoga ndani yake wakati huo anaona ni rafiki wa kucheza nae
Eeeeh sina uhakika sana!!
Je kisayansi hii Ina maanisha nini?
View attachment 3375969
I am not good in English but my aim was to say that , the child is able to catch the Snake because he/she does not know how the Snake is.
Daaah kumbeUfahamu walionao watoto ni tofauti na ufahamu alionao mtu mkubwa.
Mtoto anajua kila kitu ni chema, wakati wakubwa wanajua kuna mema na mabaya.
Mtoto akiona nyoka ata-react kama rafiki yake... Wakati mkubwa abamuona nyoka kama adui yake.
Nyoka ana-respond kulingana na ulivyokuja.
[emoji23][emoji23]Ukiona hivyo ujue sio nyoka, ni shetani ambalo lina ufahamu. Nyoka wa kweli ni lazima amgonge.
Haukuonyesha umwamba???[emoji23]Kihusu ushari wa koboko nakubaliana na wewe. Lakini huwa hashambulii kila wakati.
Nakumbuka mwaka 2017, nilikuwa na mzee tukielekea mashambani, basi mimi sina hili wala lile; nikashangaa mzee kanizuia kwa mkono pasi na kusema chochote. Akaniashiria niangalie mbele na nisigeuke. Bonge la joka la kijivu na kichwa chake kidogo, urefu wake ni kama mita 3 au 4 hivi kilichochongoka! lilikuwa limeinua nusu ya kiwiliwili chake likifanya scanning kwenye nyuso zetu. Lilipoona tumetulia likashusha kiwiliwili chake na kuondoka kwa kasi ya ajabu mithili ya risasi. Huyo kule uheheni tunamuita Nyamuhandu, ninyi wazungu mnamuita black mamba.
Rest in peace mzee, uliniokoa siku ile.
Ahaaa nmekupataKisayansi Iko hivi:-
Mtu mzima hutoa joto/kemikali ambazo humtisha nyoka na kupelekea kuwa mkali, lkn mtoto hatoi joto hilo wala kemikali zinazomuogofya nyoka.