Je kwanini Simba imemsajili kocha aliyeshinda loser cup

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Bongo mambo mengi .....

Msimu uliopita Baada ya wananchi kuvuka vikwazo vingi Katika michuano ya CAF confederation na kufika fainali....baadhi ya wachambuzi na semaji lao la mchongo na mashabiki wa kolo fc walisema ni Ligue ya loser ( waliofeli)

Swali ni Je ...zile mbinu zilizotumikana huyu kocha kule loser cup [emoji23].....zinaweza fanya kazi huku champions league???

Maoni yngu
Mimi naona huyu benchika amekuja kuua cv yake ....mzimu uliopo Simba ni sawa na ule wa man united
 
NB: Je benchika na bongo zozo ni ndugu? Mbona wanafanana Anauliza manara
1701793184950.jpg
 
Bongo mambo mengi .....

Msimu uliopita Baada ya wananchi kuvuka vikwazo vingi Katika michuano ya CAF confederation na kufika fainali....baadhi ya wachambuzi na semaji lao la mchongo na mashabiki wa kolo fc walisema ni Ligue ya loser ( waliofeli)

Swali ni Je ...zile mbinu zilizotumikana huyu kocha kule loser cup [emoji23].....zinaweza fanya kazi huku champions league???

Maoni yngu
Mimi naona huyu benchika amekuja kuua cv yake ....mzimu uliopo Simba ni sawa na ule wa man united
maajabu
 
Back
Top Bottom