Kuna mijadala mingi sana na Kila mtu anatoa uchambuzi wake Kwanini USA chini ya Biden wameruhusu Ukraine kutumia long range boom kupiga ndani ya Urusi.
Ndugu zangu lisemwalo lipo na kama halipo basi lisubiri mlione.
Kwa muda mrefu sana hii vita ya Ukraine na USA imekuwa ikipigwa lakini nyuma ya pazia Kuna matumizi Makubwa ya intelligence kuliko silaha tunaziona upon msemo unasema adui akisha juwa siri zako basi unakuwa umekwisha. Nataka kuwakumbusha maumivu Israel ameyapata na vifo nyuma ya maovu hayo ni Iran na nyuma ya Iran basi ni Russia.
Kwa bahati mbaya sana wakati Urusi akimpa green light Iran akinukishe hakujuwa Israeli walikuwa a head of them sema ilikuwa wanasubiri waguswe.
Israel pale mashariki ya kati amekinukisha mpaka Putin Kremlin akasema Hana watu wa vita. Israel amepigana na lebano, hamas, Syria na Iran. Israel amekinukisha na amewatia hasara adui zake na mpaka sasa mrusi anamlaumu Iran na Iran anamlaumu Urusi.
Ushindi huu mkubwa wa Israel dhidi ya maadui zake imekuwa ni green light ya USA kumaliza mission yao Iran. Masaa machache kabla ya USA kuiruhusu Ukraine rusha makombora yake Urusi jeshi la Urusi limeishambulia Ukraine kwa kiwango kikubwa sana jambo hili limefanya Wana intelligence Kwa data wa nazo kumwambia Ukraine atumie mzigo anao kumaliza kazi. Yes na ukitaka kuamin Rais mteule Trump hajasema neno ila mtoto kasema neno je nini kipo nyuma ya maamuzi haya?
Niukweli usio pingika wakati Urusi anaishambulia Ukraine ulaya wamekuwa kwenye maamdalizi ya kivita yaani wamekuwa kwenye mazoezi mazito ya kivita Kwa ajili ya shambulizi lolote toka Urusi.
Pili siku hizi chache Urusi ameamua kukunjuwa makucha kwanza kuvunja mkataba wakuuza Uranium cake Kwa USA na pili kusimamisha gas Kwa Austrea jambo hili sio dogo ila nilazima lifanyiwe kaz na Urusi waonje athari za vita. Kwa zaid ya siku 1000 Urusi wamekuwa wakiibomoa Ukraine usiku na mchana na Dunia imekuwa ikimkataza Ukraine kupiga Urusi ila sasa wapo tayari Kwa vita na Kwa ufupi wanataka wamuone Putin akitumia Nuclear ili wao wamalizie vita. How?
Ni ukweli usio pingika Urusi ana mzigo wakutosha wa maboom ya nuclea ila pia niukweli usio pingika technology yake Kwa taarifa za siri Haina madhara kama technology ya Magharibi.
Kutumia hayo maboom hasara itakuwa kubwa Kwa Urusi kuliko Magharibi Kwa sababu mpaka sasa Urusi anapumulia machine na akianzisha vita atamalizwa mara Moja na pia Urusi wataigawa Tena yaani hawatoishia hapo Urusi wataigawa tena maana watusi wamesha choka hii vita na hawaoni thamani ya vita hii.
Putin kama Rais ana mamlaka yote ila amefika point wanasema kile kilimkuta Rais mwenzake alie anzisha vita kipindi Fulani wali mpoison wao wenyewe Mzee alie changanyikiwa anataka kuingamiza familia nzima watu Wote wakose Kwa jambo wangetafuta suluhu Kwa Amani.
Wamempa Kremia ila bado hajatosheka anataka nini? Huyu anataka kufa na dam nyingi Kwa maana ya Uzalendo hapana watamtuliza.
Ktk Moja ya speech za Biden aliwahi kusema kama tukitaka kumuondoa Kwa kiti Putin tuna weza ila hatutaki kufika uko na mwisho akasema Putin don't don't use nuclea weapon because it could be a death sentence to Rusian people
Maneno haya yanatimia na kisa cha Trump kuwa Rais nikumaliza kazi cia wanaitaka maana ndio mtu sahihi base on history. Trump anau German ndani yake hawezi ruhusu Putin awazingue Ndugu zake Wa ulaya na Putin. Anajuwa kabisa Trump nikichaa atafanya maamuzi magumu base on advice atapewa na Pentagon.
Mwisho Kwa wale hamjuwi Putin anaenda kushimdwa hii vita vibaya na hivyo vitisho hawezi rusha hata boom Moja kwenye ardhi ya USA au europ. Security advise wa Putin hawato mruhusu