Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

Urusi anapigana zaidi ya nchi 52 Kwa pamoja akiwa amewekewa vikwazo na bado amekaria karibia nusu ya Ukraine.
So, Russia can illegally invade a sovereign democratic European country, murder 1000s of Ukrainian civilians, then rope in North Korean soldiers to help them wage war, and the West’s correct response should be to.. checks notes … give Putin what he’s stolen?
Do f*ck off.
 
Oi mbona hiyo ngeli ya ugoko?
 
Kwanini USA chini ya Biden wameruhusu Ukraine kutumia long range boom kupiga ndani ya Urusi.
Haya mchambuzi wa vita kutoka Tanzania tupe ufafanuzi kwenye hili!

With intercontinental ballistic missiles, Russia could be sending a message to the West​

Israel amekinukisha na amewatia hasara adui zake

Arrest warrants issued for Netanyahu, Gallant and Hamas commander over alleged war crimes​

Mtoa mada nafikiri unasumbuliwa na:

brainwash

to make someone believe something by repeatedly telling them that it is true and preventing other information from reaching them :

Back
Top Bottom