Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

Vile vile kwanini Urusi wanapiga ndani ya Ukraine
 
Pro
Porojo....mtu yuko Mbagala anachambua ya Kremlini
 
Jamani kama hujui hii vita ni Bora kukaa kimya. Hii sio simba na Yanga.

Eti "silaha za Urusi hazina madhara kama za west" kuwa serious.

Google TU silaha hatari za Urusi lakini pia unasahau ndio mwenye maboom yenye Kasi kuliko nchi yeyote.

Hayo maboom Yako umempatia Ukraine Jana kapiga 6 matano yamelipuliwa midair na Moja liliharibiwa na kudondoka pasipo madhara. Hivyo kukuonesha TU ni ngumu Ukraine kufikia malengo lakini retaliation yake inaweza kuwa na madhara zaidi.

Pia Zelensky anaweza kuuwawa ili TU kumaliza vita.

Point yangu ni kwamba West wanataka kufa na tai shingoni maana uchumi wote wa ulaya upo kwenye hali mbaya sana. Nashangaa mleta mada anaisema Urusi wakati Uingereza, ufaransa na Ujerumani hali ni mbaya sana.

Kubwa tuombe lisitokee tunalotaka litokee.
 
Umei_undermine Russia sana, halafu Trump na Putini wanaongea lugha moja japo mainstream media zimekudanganya kua hawaivi,

Chini ya rais Trump Dunia itakua salama na amani zaidi.

We jamaa kumbe kwenye uga wa kimataifa ni mweupe hvyo.
 
Biden amethibitisha alivyo coward yaani anavizia hadi dk za jioni akiwa anaachia kiti eti ndio atoe maamuzi magumu?
 
naungana na wewe pamoja na Mkuu wa Usalama Russia aliyefukuzwa kazi ,baada ya kuulizwa tuivamie Ukraine au hapana ,akajibu hapana akafukuzwa kazi
 
Maoni yoyote lazima yaheshimiwe hata kama mtoa maoni ANA MAWENGE KICHWANI. Hata ukisema kuwa intelijensia yako inakuonyesha kuwa kuna viashiria Mlima Kilimanjaro kusogezwa Zanzibar , TUTAYAPOKEA TU
 
Wataalam wa mambo ya kivita wa Dunia, wanakubaliana kuwa japo jeshi la Urusi ni miongoni mwa majeshi makubwa sana Duniani, lakini uwezo wake wa kivita, upo exagerated. Vita hii ambayo Urusi iliianzisha dhidi ya Ukraine, imethibitisha uwezo halisia wa jeshi la Urusi katika masuala ya kivita.
 
Wataalam wa mambo ya kivita wa Dunia, wanakubaliana kuwa japo jeshi la Urusi ni miongoni mwa majeshi makubwa sana Duniani, lakini uwezo wake wa kivita, upo exagerated. Vita hii ambayo Urusi iliianzisha dhidi ya Ukraine, imethibitisha uwezo halisia wa jeshi la Urusi katika masuala ya kivita.
 
Tuweke ushahidi Nato yote ipo pale sio unaropoka kwa mihemko ya kumpamba russia wewe unaichukulia Nato poa mulize Russia mwenyewe akisikia nato anajiharia anabaki kutishia nuklia
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 !
Ni Trump tu ndio anayeweza kuizuia World war 3 isitokee !
 
Zelensky aache kudekadeka kwa amerika na ulaya ili apewe silaha za masafa marefu kuendeleleza vita, aseme tu sitaki mpango huo nataka amani vita iishe
 
Vita imebadilka sana si unaona usreli inapigana na wanamgambo kwenye eno kadogo na usaidize wa west lakin hadi leo wanapigana
 
Uchumi wa Ulaya una hali mbaya ila ule wa Urusi uko imara au siyo?

Putin anapumulia mashine sema tu kwa vile ana ficha mambo yake
 
Putin ameshashinda hiyo vita. !
Biden anataka kumwangushia gari bovu Trump kwa kuruhusu makombora ya USA yapige ndani ya Urusi !

Wajaribu waone mziki wa Russia !
World war 3 is imminent !
Putin hamna kitu USA sio wajinga utakuja niambia hap
 
umejitahidi japokuwa pumba nyingi humu,hiyo kupiga long range ndani ya urusi ni kauli ya biden ambaye tunajua ni mzee ambaye akili zake zimerudi kwenye utoto...ambapo tunajua Trump anaenda kuirudisha nyuma ukraine kwenye hii vita anytime soon
 
umejitahidi japokuwa pumba nyingi humu,hiyo kupiga long range ndani ya urusi ni kauli ya biden ambaye tunajua ni mzee ambaye akili zake zimerudi kwenye utoto...ambapo tunajua Trump anaenda kuirudisha nyuma ukraine kwenye hii vita anytime soon
Kwa hiyo Biden amekaa tu na mke wake akajiamulia kuidhinisha matumizi ya hizo silaha? Kwa namna nilivyokuelewa Biden anaweza aamke tu na kutoa amri ya kuishambulia Iran au nchi yoyote sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…