Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

Tukubaliane hu ni mtazamo wako binafsi.
Anyway; iwe kweli au sio, mimi binafsi natamani sana Putin ashinde hi vita with only one reason. Ufaransa amekua anazinyonya sana nchi alizo zitawala na zile zinazo ongea Kifaransa zinateswa; is Russia ambaye kaleta ukombozi Mali, Niger, Bukinafaso. Mungu mbariki Putin
 
Huyu Russia anaepigana na ka Ukraine 2 yrs mpaka anasaidiwa wanajeshi na kichaa mwenzie north Korea ndo amtishe USA embu kua serious kidogo
Urusi hapigani na Ukraine ila anapigana na mataifa zaidi ya 30 barani ulaya na bado ingali yuko kwenye vikwazo vya kiuchumi. Licha ya hayo 20% ya ardhi ya Ukraine ipo mikononi mwa vikosi vya Urusi, na hiyo ardhi ni ile potential kwa kilimo, viwanda pamoja na rasilimali mbalimbali huko mashariki mwa Ukraine.

Nchi za magharibi licha ya kutuma kila aina ya silaha kule Ukraine lkn hawajafanikisha kukomboa hata kijiji kimoja kutoka kwa Urusi. Hapa utasemaje Urusi kashindwa? Juzi tu hapa Volodymir Zelenksy Alisema vita imalizwe kwa diplomasia, kama anashinda vita diplomasia yanni?

Anyway ngoja tusubiri ufanisi wa hizi silaha za masafa marefu zitatoa dira gani kwenye hii vita maana vifaru vya leopard II, Abrahams na mifumo ya ulinzi ya patriot imefeli vibaya mbele ya silaha za Urusi. Hapo sijazungumzia zile F-16 ambazo Zelenksy alipiga kelele apewe na akapewa lkn hali bado inazidi kuwa mbaya kwake
 
Na hivyo ndivyo ilivyo !
 
Huu utumbo tuh kma utumbo mwingineeee....we kigagula unaandika hisia zako
 
Ndugu yangu vinajuwa nini vigogo vilivyo soma uraia badala ya siasa?.
 
Hivi kweli hii vita mrusi ndiyo ya kwanza kupigana tangu uwepo wa taifa hilo,hadi kupelekea kugunduwa udhaifu wajeshi lake. Mbona wanapiga kelele nje ya uwanja timu siwanazo nzuri mbona hawaingizi uwanjani tuone tuhakiki wakisemacho.
 
Urusi anapigana zaidi ya nchi 52 Kwa pamoja akiwa amewekewa vikwazo na bado amekaria karibia nusu ya Ukraine.
Hizo nchi 52 zipo wapi hapo ukraine na urusi anapiganaje nazo tungeona ndege nyingi na wanajeshi wa nato urusi hata wiki asingemaliza wafia dini acheni unafiki na uwongo wakati putin mwenyewe kasema kuiruhusu ukraine silaha za masafa marefu vitakuwa vya urusi na nato
 
Great reply
 
Ukosawa kabisa wana Jf tungekuwa wakweli namna hii tungejifunza mengi, tatizo liko wazi Zele anahangaika kuomba kila aina ya misaada lakini matokeo sifuli!!, wasaidizi wake vikao haviishi navyo matokeo yake sifuli yote hayo hayajasaidia kitu.
 
Biden juzi ameruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu,ila Trump yy lengo lake kumaliza hii vita ya Russia na Ukraine.
 
Kwani ndege za NATO hazipo uwanja wa vita?
 
Zitaje hizo ndege hivi umeangalia hata mazoezi ya nato vile wana mandege ya kufa mtu au wewe umekaa hapo kijiwe cha kahawa unaropoka urusi anapigana na Nato
ngoja nikusaidie kidogo,
ili upigane vita unahitaji vitu vifuatavyo,

1. wanajeshi
2. silaha
3. fedha
4. teknolojia (intelijensia)

haya, katika hayo manne, ukraine anayo mangapi ya kwake binafsi?
ukiangalia hapo, utaona ukraine ana wanajeshi tu,

silaha hana, fedha hana, intelijensia hana,..... kwahiyo, anatoa hivyo technically ndiye anapigana vita!

nb/.
google jinsi atamcs na storm shadow zinavyofanya kazi, atleast itakuasaidia kuelewa ikiwa nato wapo uwanjani au hawapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…