Huo ni mziki wa Asili na hizo pombe ni za Asili!Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?
Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni hizo tu. Au Ni nyimbo zinapendwa na walevi?
Uzi tayari.
Hahahaha, Zina mzuka sana ukilewa hasa pombe zao zileNi research tu isiyo rasmi mkuu Yani utasema kule wapo ulimwengu wao maana Ni nyimbo za kitambo sana
Wanarithishana na ndiyo maana utakuta wanaokunywa pombe maeneo hayo ni watoto au wajukuu wa wanywaji wa zamaniNi Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?
Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni hizo tu. Au Ni nyimbo zinapendwa na walevi?
Uzi tayari.
Wanarithishana na ndiyo maana utakuta wanaokunywa pombe maeneo hayo ni watoto au wajukuu wa wanywaji wa zamaniNi Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?
Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni hizo tu. Au Ni nyimbo zinapendwa na walevi?
Uzi tayari.
walevi wa hizo pombe ndio wanazipenda nyimbo hizo wengi wao ni watu wazima wa enzi hizo nyimbo hizo zinavuma.Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?
Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni hizo tu. Au Ni nyimbo zinapendwa na walevi?
Uzi tayari.
Kama nakuona kwenye vilabu vya mbege kule moshi.. maana kwa minyimbo hiyo mchaga humuambii kitu.Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?
Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni hizo tu. Au Ni nyimbo zinapendwa na walevi?
Uzi tayari.
Unakuta ni walimu pia hasa wa shule za msingiwanaoshinda vilabuni, ni wazee wa CCM utawakuta huko, huko Mbozi ukiwanunulia debe la kimpumu umemaliza, unakuta mzee amepiga shat la kitenge na kofia ya CCM
Hahaha huo ugomvi, japo ni ukweli mtupuUnakuta ni walimu pia hasa wa shule za msingi