Je, kwanini vilabu vingi vya pombe za kienyeji hupenda kupiga nyimbo za zamani hasa zenye asili ya Kongo?

Je, kwanini vilabu vingi vya pombe za kienyeji hupenda kupiga nyimbo za zamani hasa zenye asili ya Kongo?

Zina vibe lake ukute kimama chembamba kina kilemba na chupa lake la wanzuki mkononi kinacheza bhuyagayaga huku kinabambiwavna mlevi mbaba anamkoti mchafu na mzula usio na rangi maalum...ndio starehe yao hiyo
Ujue wewe ni tatizo 😂😂😂
 
Soukous ina amsha amsha halafu bonge la throwback kwa watumia pombe hizo ukizingatia huwa watu wazima zaidi.

Evelyne ya Aurlus Mabele au Laisser Passer (Matchatcha) ya Diblo Dibala huwezi zikosa.
Hiyo Evelyne Ni balaa, Kuna gitaa la solo limepigwa Ni hatari
 
Back
Top Bottom