Je, kwanini vilabu vingi vya pombe za kienyeji hupenda kupiga nyimbo za zamani hasa zenye asili ya Kongo?

Ni research tu isiyo rasmi mkuu Yani utasema kule wapo ulimwengu wao maana Ni nyimbo za kitambo sana
Unataka wasikilize nyimbo za watoto wa 2000 za akina Diamond inama inuka nichomeke inazama yote??

Kwenye vile vilabu wapo watu wazima lazima wasikilize nyimbo zilizotrend wakati wao wako na pesa na nguvu za kutosha.
 
Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?

Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni hizo tu. Au Ni nyimbo zinapendwa na walevi?
Uzi tayari.
Zamami nyimbo za Congo zilitawala, hata muziki wa Bongo umeathirika sana na mziki wa congo.
 
Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?

Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni hizo tu. Au Ni nyimbo zinapendwa na walevi?
Uzi tayari.
Mama yangu alipika hizi pombe, naziheshimu. Na kweli miziki ya vilabuni ni rhumba za zamani sio za kina fally ipupa
 
Kila mtu umri unapoenda uwa analudi kwao kupumzika. Virabu vingi vya pombe za kienyeji zipo vijijini na wadau wakubwa wa pombe hizo ni wastahafu walikuwa wamemiss pombe zao zilizo wakuza kwahyo wakikutana na jamaa zao wa ujana wao wanafurahia miziki ya kipindi chao. By da way nipo na miaka 35 ila ikifika 45 nastahafu nanda kijijini kwa baba na Mama. Kijijini kila kitu siku hizi ni kama mjini ni wewe tu yani ni umu tu.
Mimi nimeenda kijijini kumenishinda wale wazee wa jika langu wengi wamesharudisha namba.

Vijana wamechoka kwa kunywa gongo.

unaweza ukatembea barabarani km 2 au 3 usikutane na mtu yoyote hata mbwa.
 
Unataka wasikilize nyimbo za watoto wa 2000 za akina Diamond inama inuka nichomeke inazama yote??

Kwenye vila vilabu wapo watu wazima lazima wasikilize nyimbo zilizotrend wakati wao wako na pesa na nguvu za kutosha.
Kwa hiyo ndo mnazipenda sana
 
Mimi nimeenda kijijini kumenishinda wale wazee wa jika langu wengi wamesharudisha namba.

Vijana wamechoka kwa kunywa gongo.

unaweza ukatembea barabarani km 2 au 3 usikutane na mtu yoyote hata mbwa.
Aisee hatari sana, na kilabuni ulipita pita ukawakosa, au ndio gongo imewasepesha
 
Zina vibe lake ukute kimama chembamba kina kilemba na chupa lake la wanzuki mkononi kinacheza bhuyagayaga huku kinabambiwavna mlevi mbaba anamkoti mchafu na mzula usio na rangi maalum...ndio starehe yao hiyo
Uje mahakamani kesho 😆😆😆😆😆
 
Kila mtu umri unapoenda uwa analudi kwao kupumzika. Virabu vingi vya pombe za kienyeji zipo vijijini na wadau wakubwa wa pombe hizo ni wastahafu walikuwa wamemiss pombe zao zilizo wakuza kwahyo wakikutana na jamaa zao wa ujana wao wanafurahia miziki ya kipindi chao. By da way nipo na miaka 35 ila ikifika 45 nastahafu nanda kijijini kwa baba na Mama. Kijijini kila kitu siku hizi ni kama mjini ni wewe tu yani ni umu tu.
Au sio, kimpumu, ulanzi, mtindo + gongo
 
Tukiwa tunachamba koo huku tukiupa mwili pole, hatuwezi kusikiliza kwaya ama singeli mkuu...😊
 
Zamani ipi unaiongelea? Binagsi naingia kwenye kilabu kinachopendelea miziki yenye kukumbusha.
 
Back
Top Bottom