yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 466
- 813
Tunawaachia ninyi vijana mzamishane hovyo na ARV za msaada hakuna mfe kizembe.Jaribuni na zile za inama nichomeke izame yote, hakika mtaenjoy sana
HeheheTunawaachia ninyi vijana mzamishane hovyo na ARV na msaada hakuna mfe kizembe.
Ya walevi, waachie walevi.Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?
Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni hizo tu. Au Ni nyimbo zinapendwa na walevi?
Uzi tayari.
HeheheBar nyingi zinazopiga muziki wa wakubwa ndizo zinazouza, vijana wengi hawana hela
Nina Pub Mahali muziki ni wa zamani tu, vibopa wakongwe wanajaa sanaHehehe
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!Nina Pub Mahali muziki ni wa zamani tu, vibopa wakongwe wanajaa sana
Unaweka bongo fleva ni mzee gani atakuja hapo? nyimbo zimejaa matusi matupu na wala haijulikani unachezaje, wasanii wa sasa bila mganga hawazindui Album, nyimbo hazina kituDuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!
Mbona kuna nyimbo za zamani pia zina matusiUnaweka bongo fleva ni mzee gani atakuja hapo? nyimbo zimejaa matusi matupu na wala haijulikani unachezaje, wasanii wa sasa bila mganga hawazindui Album, nyimbo hazina kitu
Kwa mfano ipi?Mbona kuna nyimbo za zamani pia zina matusi
Kuna moja nimeisahau video vixen alikuwa Yondo SisterKwa mfano ipi?
Viuno siyo matusi, bongo fleva ni matusi waziwazi ya maneno na vitendoKuna moja nimeisahau video vixen alikuwa Yondo Sister
Hapana huo wimbo unaoitwa Sophia una vitendo vya matusi vinavyofanywa na Yondo Sister ukiweza itafute uone kule mwishoniViuno siyo matusi, bongo fleva ni matusi waziwazi ya maneno na vitendo
kwani siku hizi kuna muziki? hata wewe unaweza kuimba lolote, bila kufuta sheria za uimbajiInaezekana zile nyimbo walskiza wajanj wa zaman sehem za stareh ambapo ndo vilabuni na mara nying huko huenda wazee au watu walochoka kimaisha