binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Feb 16, 2025 #61 Manjovial said: Zina vibe lake ukute kimama chembamba kina kilemba na chupa lake la wanzuki mkononi kinacheza bhuyagayaga huku kinabambiwavna mlevi mbaba anamkoti mchafu na mzula usio na rangi maalum...ndio starehe yao hiyo Click to expand... Ujue wewe ni tatizo πππ
Manjovial said: Zina vibe lake ukute kimama chembamba kina kilemba na chupa lake la wanzuki mkononi kinacheza bhuyagayaga huku kinabambiwavna mlevi mbaba anamkoti mchafu na mzula usio na rangi maalum...ndio starehe yao hiyo Click to expand... Ujue wewe ni tatizo πππ
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Feb 16, 2025 #62 Smart911 said: Ili msigange yajayo... Cc: Mahondaw Click to expand... Ushawahi test pombe za kienyeji lo??
Smart911 said: Ili msigange yajayo... Cc: Mahondaw Click to expand... Ushawahi test pombe za kienyeji lo??
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 16, 2025 #63 Mahondaw said: Ushawahi test pombe za kienyeji lo?? Click to expand... Hapana sweetheart, labda kuku wa kienyeji...
Mahondaw said: Ushawahi test pombe za kienyeji lo?? Click to expand... Hapana sweetheart, labda kuku wa kienyeji...
SubTopic Member Joined Sep 15, 2021 Posts 95 Reaction score 175 Feb 16, 2025 Thread starter #64 Karne said: Soukous ina amsha amsha halafu bonge la throwback kwa watumia pombe hizo ukizingatia huwa watu wazima zaidi. Evelyne ya Aurlus Mabele au Laisser Passer (Matchatcha) ya Diblo Dibala huwezi zikosa. Click to expand... Hiyo Evelyne Ni balaa, Kuna gitaa la solo limepigwa Ni hatari
Karne said: Soukous ina amsha amsha halafu bonge la throwback kwa watumia pombe hizo ukizingatia huwa watu wazima zaidi. Evelyne ya Aurlus Mabele au Laisser Passer (Matchatcha) ya Diblo Dibala huwezi zikosa. Click to expand... Hiyo Evelyne Ni balaa, Kuna gitaa la solo limepigwa Ni hatari
M Manjovial JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 590 Reaction score 1,125 Feb 16, 2025 #65 binti kiziwi said: Ujue wewe ni tatizo πππ Click to expand... Mkuu niuzoefu nao eneo ninalokaa ndo mambo hayo yapo sana wacha kabisa burdani kwangu kuwaona wakichezq na vinyimbo vyao vya kilugha
binti kiziwi said: Ujue wewe ni tatizo πππ Click to expand... Mkuu niuzoefu nao eneo ninalokaa ndo mambo hayo yapo sana wacha kabisa burdani kwangu kuwaona wakichezq na vinyimbo vyao vya kilugha