Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
- Thread starter
- #61
Tindikali KaliKipindi Chadema ikiwa chama kikuu cha upinzani mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?
Hebu fafanua zaidi swali lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tindikali KaliKipindi Chadema ikiwa chama kikuu cha upinzani mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?
Labda kubadilisha lugha sasa! Swali liko wazi sana...Tindikali Kali
Hebu fafanua zaidi swali lako
jme
Ni kweli kabisa ukisemacho, ni lazima pia watanzania tujiulize hivi hiki chama cha NCCR Mageuzi si ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1995?
Nini kilitokea baada ya hapo?
Ni kusambaratishwa kwa chama hiko kwa "usimamizi" wa karibu wa chama tawala
Ni mwananchi gani mpumbavu kiasi cha kuchagua wasaliti wa Taifa? nani haoni wanayoyafanya CHADEMA na Zitto kila uchao kumtukana na kumdhihaki mkuu wa nchi? nani haoni wanavyolichonganisha Taifa kwa wadau na wahisani wa maendeleo? ni mwendawazimu tu ndo atasubiri aambiwe na Rais kwamba hao hawafai ndo achukue hatua, wananchi tunaona na tushaamua, wakipata walau mbunge mmoja October washukuru.Watakifanyaje wakati Ni matakwa ya watawala?,kama siyo watawala kinachoendelea leo nccr unakiona?
Ni historia inajaribu kujirudia kumbuka NCCR ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani mwanzo kabisa wa siasa za vyama vingi mwaka 1995. Ukweli ni kwamba ccm wanacheza na kitu wasichokijua, CDM imejikita sana nchi nzima na hawawezi kuiua CDM kupitia NCCR na hatima ya yote vyama hivi vitakuwa kitu kimoja na kuipigilia ccm msumari wa mwisho.Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020
Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala
Kulithibitisha hilo tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi.
Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wengine wawili wa viti maalum wa Chadema, Suzane Masele na mwenzie Joyce Sokombi, nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi
Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?
Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini, cha kuwakomboa kutoka kwenye mikono ya chama tawala.
Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na waweze kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
Hahahahaha...hao watu wako nje ya nchi ma multiple accounts tweeter na jamiiforums, kule field CHADEMA haina mtu mkuu, watu walishatembea kitambo hata kabla ya Lowassa kurejea CCM, October sio mbali mtafurahi na macho yenu, hakuna wa kuunga mkono wasaliti wa Taifa.nccr ni kama kaingizwa choo cha kike, haitawezekana ccm kugawa fungu nccr mageuzi wakati yenyewe tu saiv inahaha kwamba oktoba itakuaje! chadema wana mtaji wa rasilimali watu nchi nzima je mbatia na kundi lake watajaa kibaba?
Nimezunguka baadhi ya maeneo wakurugenzi wengi wamewekwa wa toka nyumbani, inahitajika nguvu ya ziada sana.Wakifutilia vizuri watagundua hiki nilicho andikaChadema watashinda majimbo mengi tu.. chamsingi ni kuwa na mkakati maalumu kwenye majimbo yao ya kimkakati na kuhakikisha kuwa mpango wowote wa uchakachuzi au kuvuruga uchaguzi haufanikiwi ktk majimbo hayo. Pia kura za maoni za watia nia zitokane na matakwa ya wananchi!
faziliNi historia inajaribu kujirudia kumbuka NCCR ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani mwanzo kabisa wa siasa za vyama vingi mwaka 1995. Ukweli ni kwamba ccm wanacheza na kitu wasichokijua, CDM imejikita sana nchi nzima na hawawezi kuiua CDM kupitia NCCR na hatima ya yote vyama hivi vitakuwa kitu kimoja na kuipigilia ccm msumari wa mwisho.
[/QUOTE]fazili
Wanachofanya CCM ni sawasawa na mtu anayekimbiza kivuli chake, akiamini kuwa ipo siku atakikuta!
bulicheka 4Imenikumbusha wakati Pan Afrika inaundwa kuingoa Yanga nguvu za pesa zilitumika sana lakini wananchi walishinda hivyohivyo nccr itashindwa
Bila kuwa na tume huru ya uchaguzi na tukiendelea na tume hii hii, basi aslimia 100 ya lengo la watawala litafanikiwa.Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020
Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala
Kulithibitisha hilo tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi.
Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wengine wawili wa viti maalum wa Chadema, Suzane Masele na mwenzie Joyce Sokombi, nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi
Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?
Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini, cha kuwakomboa kutoka kwenye mikono ya chama tawala.
Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na waweze kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
Hili ni gumu Sana kutokea aisee Yani NCCR sioni kabisa huo mvuto wanautoa wapi aisee kuwabadilisha Hawa vijana wa leo ni ngumu sanaSoon mtaanza kuwashabikia maana chadema itakuwa dead and buried...