Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 541
- 396
Kwamba hayajawahi kuwa mabaya japo yanatofautiana?Tindikali
Yalikuwa kwa kiasi fulani "more fair" ukilinganisha na sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hayajawahi kuwa mabaya japo yanatofautiana?Tindikali
Yalikuwa kwa kiasi fulani "more fair" ukilinganisha na sasa
CHADEMA na wapinzani wa dhati msilalamike tu. Mdai tume huru ya uchaguzi la sivyo itakula kwenu. Learn from Burundi. The opposition was a mass mover but are losing.BAK
Hawa watawala wetu wamegeuza uchaguzi kuwa matakwa yao binafsi, badala ya kuheshimu matakwa ya sanduku la kura lililo huru
Kama unaongelea wananchi wa multiple accounts wa jf na tweeter ni sawa hao wabunge wawili waweza patikana, lakini kama ni kule field wajidanganya, wananchi wanaona myafanyayo, usaliti dhidi ya Taifa na matusi, dhihaka dhidi ya mkuu wa nchi hata kwa mambo yanayopaswa kutuunganisha havitawaacha salama, mkipata mbunge mmoja mshukuru Mungu.Reference yetu iwe Local Gv election. Uhuni wa wazi ulipfanyika.
Kwa mantiki hiyo wamejiandaa kwa uhuni mwingne wa mchana kweupe.
Watakachofanya ni sawa na LGE, watawakata majina, watakao baki watapigwa rafu kwenye kampeni, watakao himili watapigwa rafu kwenye uchaguzi, watakaohimili hawatotangazwa, maeneo ambayo wananchi watapinga...watapigwa na wengne kupotea.
Watawatangaza wabunge wasiozid wawili au hata sifuri kabisa. Hawanaga aibu wale.
Uchaguzi huu 2020 wananchi wasipokataa uhuni wa CCM, hakuna mbunge wa CDM atarudi bungeni.
Ni dhahiri sasa ACT wameungana na CCM ndo maana uumeona Ado Shaibu alichoandika leo.
Watashinda rather! Mengineyo uko sahihi...Watawatangaza wabunge wasiozid wawili au hata sifuri kabisa. Hawanaga aibu wale.
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020
Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala
Kulithibitisha hilo tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi.
Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wengine wawili wa viti maalum wa Chadema, Suzane Masele na mwenzie Joyce Sokombi, nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi
Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?
Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini, cha kuwakomboa kutoka kwenye mikono ya chama tawala.
Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na waweze kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
Mbona ni rahisi sana kukifanya chm cha nccr kuwa chama kikuu bila hata kubadilisha mioyo ya watu? Subiri utaona kazi ya tumeUkiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020
Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala
Kulithibitisha hilo tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi.
Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wengine wawili wa viti maalum wa Chadema, Suzane Masele na mwenzie Joyce Sokombi, nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi
Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?
Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini, cha kuwakomboa kutoka kwenye mikono ya chama tawala.
Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na waweze kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
Na Chadema wanaichukia CCM kwa kuwa ni chama imara na kina madhara kwa malengo yao!CCM wanapenda vyama dhaifu kwa kuwa havina madhara kwao
Hawa vijana wa leo wanaenda na upepo tu wala sio ishu!Hili ni gumu Sana kutokea aisee Yani NCCR sioni kabisa huo mvuto wanautoa wapi aisee kuwabadilisha Hawa vijana wa leo ni ngumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona Ado Shaibu alichokiandika......Reference yetu iwe Local Gv election. Uhuni wa wazi ulipfanyika.
Kwa mantiki hiyo wamejiandaa kwa uhuni mwingne wa mchana kweupe.
Watakachofanya ni sawa na LGE, watawakata majina, watakao baki watapigwa rafu kwenye kampeni, watakao himili watapigwa rafu kwenye uchaguzi, watakaohimili hawatotangazwa, maeneo ambayo wananchi watapinga...watapigwa na wengne kupotea.
Watawatangaza wabunge wasiozid wawili au hata sifuri kabisa. Hawanaga aibu wale.
Uchaguzi huu 2020 wananchi wasipokataa uhuni wa CCM, hakuna mbunge wa CDM atarudi bungeni.
Ni dhahiri sasa ACT wameungana na CCM ndo maana uumeona Ado Shaibu alichoandika leo.
Ni kweli ukifanya comparison ni kuwa angalau wakati huo matokeo angalau hata kama atashinda mpinzani na ikatokea mpinzani huyo "akakomaa" alikuwa akitangazwa mshindi..................Kwamba hayajawahi kuwa mabaya japo yanatofautiana?
Kuna mifano?ambapo mtendaji wa serikali kumtangaza mpinzani kuwa ameshinda uchaguzi, ni sawasawa na kujifukuzisha kazi!
Wewe umesahau kauli ya Jiwe alipokuwa akiwahutubia wakurugenzi na kuwaambia kuwa........Kuna mifano?
Aliwahi kusema pia 2020 kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki! Kama suala ni kusema...Wewe umesahau kauli ya Jiwe alipokuwa akiwahutubia wakurugenzi na kuwaambia kuwa........
Ninakupa gari ya fahari ya kutembelea, nyumba nzuri ya kuishi na msahahara mnono, halafu nisikie umemtangaza mpinzani kuwa ameshinda kwenye eneo lako........
Sasa Mkuu wa nchi anatamka maneno ya aina hiyo, bado unategemea kuwepo uchaguzi ulio huru na haki kweli??
Hayo maswali majibu anayo mwenye SACCOSS,kuisema CCM ni kuionea,CCM haikati mishahara ya wabunge wa Chadema ili iende kwa mwenye SACCOSS ,CCM haikukaa kwenye kikao hewa cha kuwafukuza uanachama wabunge waliogoma kwenda lockdown jijini Dar Es Salaam,tatizo badala ya kuangalia vibanzi vyenu kwenye macho yenu mnaangalia upande wapili,pale unapotegemea washauri wakuu wa SACCOSS ni akina Halima na shoga wake Bulaya,Lema, Mchungaji(?) Msigwa matokeoyake ndio hayo,jiulize akina Baregu na Safari wako wapi.Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi karibuni linalithibitisha hili, pale alipotamka kuwa chama chake cha NCCR Mageuzi ndicho kinachotegemewa kuwa chama kikuu cha upinzani nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020
Huo ndiyo mkakati wao watawala wetu wa CCM wa "kukiwezesha" chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Hata ukiangalia viongozi wanaohama Chadema hivi sasa, wengi wao wanahamia chama cha NCCR Mageuzi, ikionekana wazi, hayo ni "maelekezo maalum" kutoka kwa chama tawala
Kulithibitisha hilo tumejionea namna wabunge wawili wa kuchaguliwa, akina Antony Komu na mwenzie Selasini, wakisema wazi kuwa wanahamia chama cha NCCR Mageuzi.
Si hao tu, hivi majuzi tumeshuhudia pia wabunge wengine wawili wa viti maalum wa Chadema, Suzane Masele na mwenzie Joyce Sokombi, nao wakifuata nyayo hizo hizo za kuhamia chama cha NCCR Mageuzi
Swali langu ni je watawala hawa wa CCM wataweza kuufanikisha mkakati wao huo?
Nauliza swali hili, kwa kuwa najua kuwa mioyoni mwa watanzania mamilioni tegemeo lao kubwa lipo kwa chama cha Chadema, kuwa ndiyo chama pekee cha upinzani nchini, cha kuwakomboa kutoka kwenye mikono ya chama tawala.
Je watawala wetu wataweza kugeuza mapenzi ya mamilioni hao wa kitanzania kwa chama chao cha Chadema na wawalizimishe kukipenda chama cha NCCR Mageuzi kwa matakwa ya watawala hao?
Bahati mbaya watanzania wengi ni mambumbu. Wanapelekeshwa kama mang'ombe.
Sent using Fly in any Weather.
CHADEMA wanaichukia CCM kwa kuwa ina madhara kwa wananchi na malengo ya watanzania,na ni chama imara kwa ufisadi na kwa kuwabeba mafisadi.Na Chadema wanaichukia CCM kwa kuwa ni chama imara na kina madhara kwa malengo yao!