Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?


Mkuu kuna Shida gani leo kwenye familia yako. Speedy recovery.
 
Asante sana mode kuurudisha uzi huu, jana uliondolewa leo naona leo umerudishwa.
P
 
"Who was in command kwenye transition?" -- hatari sana.

Huyo atakuwa in command hata sasa.
 
Asante sana mode kuurudisha uzi huu, jana uliondolewa leo naona leo umerudishwa.
P
Maswali si mepesi, na bado hakujapoa. Kuna hotuba siku ya maziko zilifunua mengi sana, body language zilikuwa wazi!

Bwana yule kuvujisha haikuwa bahati mbaya na yaliyosemwa majukwaani hivi karibuni inazidi kutoa picha halisi.



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nifanye tu assumption kwamba yote yaliyofanywa na Kitengo ,waliyafanya kwa nia njema lakini ni kwamba, Muda wa Mjoli wa Mungu kuiacha Dunia ulikuwa umefika na Mungu hakuruhusu hata sekunde moja ya uhai wake iongezeke.Lkn kwa sababu ya usiri uliokuwepo basi Hadhila lazima inungunike tuu.Ni hali ya kawaida sana kwenye ulimwengu wa roho.
 
Paskali, jambo hilo si jambo rahisi; lilikuwa ni tukio la kwanza au nikiwa sahihi zaidi la pili baada ya lile la Zanzibar; jambo hilo lilihitaji utulivu kuwezesha:-
1. kukubali kwamba limetokea;
2. kutafuta namna ya kuliwasilisha;
3. kujenga mazingira ya namna ya kuliwasilisha; na
4. Kuhakisha wakati 1,2, na 3 vinafanyika kila kitu kiko salama
 
Hivi we Pascal tangu ukue, nyumbani kwenu kulishatokea kifo? Yaani ndugu/jamaa wa karibu kufikwa na umauti?
Kama jibu ni ndiyo au hapana hakuna shida - ni hivi, mtu akisha kufa wahusika mnamsitiri maiti kwanza, mnapanga vitu nyumbani, mnaandaa waombolezaji watakapofikia, mnawajunisha wahusika wa karibu, kama ni mbali mnatuma watu haraka (wakati hamna simu) - ndipo mnapiga NDULU KUBWA kuashilia kifo majirani na watu wote wapate hizo habari. Hiyo shughuli inaweza kuchukua masaa, siku, nk. Kutegemea na umaarufu, ukubwa wa jambo na pia watu au umma unaotaka ujue. Pia hapo kuna issue ya ulinzi na usalama - iwe kwa Mtu hohehahe au mfalme.
Pia kuna aina ya kifo mfano - kama mgonjwa ameugua siku nyingi sana na ni mahututi mno mnaweza mkawa mmeisha jipanga mkatangaza kifo mapema! Lakini kama ni ghafla mtachelewa kutangaza. Ni hayo
 
hata mm threads za anko wangu uwa zinanifikirisha uwa anakuja na conclusion kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…