Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

GT hawajitaji, wanatambulika kwa matendo, sio kwa kujisema, hemu anzisha: gtforums.com

Hawa wasio GT ndo huwa wana impact kwenye, kama wabisha angalia trends online.

Kama una agenda ya GT tu kwa kutuzalilisha sisi, why dont u go to UD and address them?

Ukileta agenda za kutuzalilisha sisi standard 7, the resemblence of your agenda to stupidity is uncanny.

Mkuu kuna Shida gani leo kwenye familia yako. Speedy recovery.
 
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.

JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.

Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.

  1. Je ukweli halisi ni upi?.
  2. What really happened in that fateful day?
  3. Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?
  4. Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
  5. Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
  6. Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
  7. Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
  8. If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
  9. Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.

Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.

Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.

Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.

Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha

Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.

Jumapili Njema

Paskali
Asante sana mode kuurudisha uzi huu, jana uliondolewa leo naona leo umerudishwa.
P
 
Hili suala la kununua muda na kutangazwa usiku na sio mchana linabaki kuwa na maswali na majibu moyoni na sio public.

Na kuna swali la msingi, who was in command kwenye transition ya hizo siku tajwa?

Ila namsifu sana rafiki yetu yule mwenye tabasamu muda wote. Yeye anadai alikuwa na wazee wenzake kijijini, mara akapigiwa simu, akaomba watawanyike maana kuja jambo la kuwataka wasiendelee na 'mastory ya town'.

Kuna documentary huwa zina-uncover classified info huko ulimwengu wa Kwanza, bila shaka kuna watakuja GT kama alivyo muanzisha mada, wakapata fursa ya ku-declassify enzi hizo sote tushatangulia mbele ya haki 😴😴
"Who was in command kwenye transition?" -- hatari sana.

Huyo atakuwa in command hata sasa.
 
Asante sana mode kuurudisha uzi huu, jana uliondolewa leo naona leo umerudishwa.
P
Maswali si mepesi, na bado hakujapoa. Kuna hotuba siku ya maziko zilifunua mengi sana, body language zilikuwa wazi!

Bwana yule kuvujisha haikuwa bahati mbaya na yaliyosemwa majukwaani hivi karibuni inazidi kutoa picha halisi.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nifanye tu assumption kwamba yote yaliyofanywa na Kitengo ,waliyafanya kwa nia njema lakini ni kwamba, Muda wa Mjoli wa Mungu kuiacha Dunia ulikuwa umefika na Mungu hakuruhusu hata sekunde moja ya uhai wake iongezeke.Lkn kwa sababu ya usiri uliokuwepo basi Hadhila lazima inungunike tuu.Ni hali ya kawaida sana kwenye ulimwengu wa roho.
 
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.

JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.

Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.

  1. Je ukweli halisi ni upi?.
  2. What really happened in that fateful day?
  3. Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?
  4. Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
  5. Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
  6. Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
  7. Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
  8. If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
  9. Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.

Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.

Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.

Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.

Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha

Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.

Jumapili Njema

Paskali
Paskali, jambo hilo si jambo rahisi; lilikuwa ni tukio la kwanza au nikiwa sahihi zaidi la pili baada ya lile la Zanzibar; jambo hilo lilihitaji utulivu kuwezesha:-
1. kukubali kwamba limetokea;
2. kutafuta namna ya kuliwasilisha;
3. kujenga mazingira ya namna ya kuliwasilisha; na
4. Kuhakisha wakati 1,2, na 3 vinafanyika kila kitu kiko salama
 
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.

JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.

Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.

  1. Je ukweli halisi ni upi?.
  2. What really happened in that fateful day?
  3. Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?
  4. Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
  5. Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
  6. Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
  7. Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
  8. If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
  9. Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.

Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.

Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.

Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.

Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha

Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.

Jumapili Njema

Paskali
Hivi we Pascal tangu ukue, nyumbani kwenu kulishatokea kifo? Yaani ndugu/jamaa wa karibu kufikwa na umauti?
Kama jibu ni ndiyo au hapana hakuna shida - ni hivi, mtu akisha kufa wahusika mnamsitiri maiti kwanza, mnapanga vitu nyumbani, mnaandaa waombolezaji watakapofikia, mnawajunisha wahusika wa karibu, kama ni mbali mnatuma watu haraka (wakati hamna simu) - ndipo mnapiga NDULU KUBWA kuashilia kifo majirani na watu wote wapate hizo habari. Hiyo shughuli inaweza kuchukua masaa, siku, nk. Kutegemea na umaarufu, ukubwa wa jambo na pia watu au umma unaotaka ujue. Pia hapo kuna issue ya ulinzi na usalama - iwe kwa Mtu hohehahe au mfalme.
Pia kuna aina ya kifo mfano - kama mgonjwa ameugua siku nyingi sana na ni mahututi mno mnaweza mkawa mmeisha jipanga mkatangaza kifo mapema! Lakini kama ni ghafla mtachelewa kutangaza. Ni hayo
 
The problem with your threads unaandika title ndefu ambayo ni conclusive,unaandika hoja ambazo unajijibia mwenyewe,unatoa direction ya namna ya kufikiri kwenye hizo hoja. Sasa sijui point yako ni nini hasa kama majibu tayari unayo😀😀😀
hata mm threads za anko wangu uwa zinanifikirisha uwa anakuja na conclusion kabisa
 
Back
Top Bottom