Yeyee jiniasiiiiThe problem with your threads unaandika title ndefu ambayo ni conclusive,unaandika hoja ambazo unajijibia mwenyewe,unatoa direction ya namna ya kufikiri kwenye hizo hoja. Sasa sijui point yako ni nini hasa kama majibu tayari unayo[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani hio tarehe17 inaadhimishwa?Kwa iyo ni leo ndo siku ya maadhimisho sio tareh 17 tena.
Faiza mchokozi sana wewe.Hasira za kura moja.
Iddi Amini hasahauiliki ndugu, hata aje nani atakumbukwa tuHuyu bwana truly was great. Atabaki kusemwa miaka mingi sana baadaye, unless aje mwingine kumfanya huyu asaahulike.
Heshima yako mkuuMkuu wewe kihistoria siyo mtu wa kushangaa.
Kuelekea siku za mwisho za jamaa yetu, the air was thick with gossips za mustakabali wake both kiafya na kiutawala.
Wajuvi walikuwa wanasema alikuwa na hali mbaya kiutawala, he made too many powerful enemies.
Watu huwa wanajidanganya kuwa ukiwa top man you are in control by 100%.
Far from the truth.
Clue iko hapa, jamaa alipata ulinzi usio wa kawaida, hadi surveilance helicopter ya wajeda.
Tunakumbuka ni kama alihamia kijijini kwao ambako mgeni yeyote unaweza kummonitor kiurahisi.
Mpaka leo hatuelewi kilichomtoa pangoni kijijini na ka drive all the way hadi Dar, akisimama katika miji mikubwa kusema hili na lile.
Hakuwa mgojwa.
Tatizo ziara ya Dar iliyoishia Kituo kikuu cha mabasi.
Mpaka pale ndio jamaa akaanza kukohoa.
Hakuonekana hadharani tena hadi mama alivyotangaza.
Hata hivyo wajuvi wanasema mitambo ilikohoa tarehe 9/3/2021 nawalijaribu kurevive bila mafanikio, hatujui ukweli ni upi.
Kwa kifupi tumepata somo kubwa, hata ukiwa na madaraka makubwa kiasi gani, dont make too many enemies.
Kama mbwa koko, wakiwa wengi wanaweza kumlaza simba.
Siamini kama Mzee wako alipofariki ndani ya dakika moja mliishatangaza msiba. Naamini kuna muda mlikaa "mka regroup". Vije itokee kwa kifo cha Rais?Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
Ukiwauliza waganda watakwambia Idd Amin alikuwa na mapungufu lakini chini yake Uganda ilimuwa vizuri sana kiuchumi na kihuduma za jamii kuliko chini ya kiongozi wa Uganda yeyote kabla na baada.Iddi Amini hasahauiliki ndugu, hata aje nani atakumbukwa tu
Umetisha snWalijaribu kumfufua ikashindikana. Hawakuwa wanaamini jamaa ndio kala shuka hivyo
Si ndio maana nakuambia hata Magufuli atakumbukwa sana tu, ni kama Idd AminUkiwauliza waganda watakwambia Idd Amin alikuwa na mapungufu lakini chini yake Uganda ilimuwa vizuri sana kiuchumi na kihuduma za jamii kuliko chini ya kiongozi wa Uganda yeyote kabla na baada.
Ni vile tu kwamba hakuweza kuishi vizuri na Nyerere.
Upo sahihi. Cha muhimu ni kukumbukwa, wapo watakaomkumbuka kwa kuwatumbua na wapo tutakaomkumbuka kama kiongozi aliyeonyesha kwamba kumbe dhamira ya maendeleo ikiwepo hakuna kinachoshindikana nchi kupiga hatua za maendeleo -- haraka sana.Si ndio maana nakuambia hata Magufuli atakumbukwa sana tu, ni kama Idd Amin
You are right DIKTETA alitema nondo tarehe 12/ 03/21. Hizo siku 5 ni akina Bashiru, Diwani, Ndugai walikuwa wanataka KUMCHAKACHUA Mama asirithi kiti cha u Rais.Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
"Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito ya head of nation"Ilikuwa ngumu kutoa taarifa moja kwa moja kutokana na usiri ndani ya jamuhuri na usiri wa wale wangemrithi. Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito a heads of nation. Hence watu tujiandae Kisaikolojia
Vuta subra pakipoa utamwelewa mwandishi"Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito ya head of nation"
Mkuu, lugha ngumu sana hii kuweza kueleweka [emoji3516]
Hekima ndio upekee wako.Hayo mambo ni kawaida, mimi naamini Nyerere alikufa kabla haijatangazwa, siku tunayofanya kumbukumbu ni siku iliyoamuliwa tu.
Same thing kwa Christmas,, 25 December sio siku aliyozaliwa Yesu lakini watu wameamua iwenhivyo ndiyo wanaisherehekea.
Na Magufuli haijalishi kafa lini na katangazwa lini iwe siku hiyo au nyingine.
Walioamua wamefanya uamuzi kutokana na sababu wanazozijuwa wao, zitakuwa ni nzuri tu kwa wakati huo.