Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kuthibitisha hapo utapewa PhD ya heshima kama msukuma.Magufuli haijalishi kafa lini na katangazwa lini, iwe siku hiyo au nyingine.
Walioamua wamefanya uamuzi kutokana na sababu wanazozijuwa wao, zitakuwa ni nzuri tu kwa wakati huo.
Wapo watakaommumbuka kwa utekaji, ukabila na mauaji piaUpo sahihi. Cha muhimu ni kukumbukwa, wapo watakaomkumbuka kwa kuwatumbua na wapo tutakaomkumbuka kama kiongozi aliyeonyesha kwamba kumbe dhamira ya maendeleo ikiwepo hakuna kinachoshindikana nchi kupiga hatua za maendeleo -- haraka sana.
Wewe na mimi ambao hatukutekwa je? Walitekwa wapuuzi tu.Wapo watakaommumbuka kwa utekaji, ukabila na mauaji pia
Kila mtu na akumbuke cha kwake, Tuache kulamishana mapendeleo.Wapo watakaommumbuka kwa utekaji, ukabila na mauaji pia
Elewa mada. Tarehe 12 tukio lilitokea lakini kukawa na ukimya Fulani kama vile subirinshetani capitalize ila kule ngambo ya maji wao walishasitusha mipango mingine ya kiserikali!Kwa iyo ni leo ndo siku ya maadhimisho sio tareh 17 tena.
Kama kweli kulikuweko na Usalama wa Taifa hili pendwa ilibidi Hawa Usalama wangeweza vidhibiti mwendo kule kwenye Amana kuu pia. Kwa maana Baada ya kukamilika Kwa huduma zote muhimu kulitokezea tume yabuchunguzi Kuke kwenye Amana ya pesa za waTanzania kuwa kulikuwa na utata Fulani wa sintofahamu Kuna walioiga saini na kukwapua mlungula wakidai ni za kutoa huduma Kwa mgonjwa na yaliyomkuta Katibu wa kitengo hadi muda hii wanajijua. Ila ripotinhiyo haijatolewa hadharani hadi hii madan inakuja hapa JF.Everything cant go mpendavyo jmn
Naamini ilikua kwa manufaa ya usalama wa Taifa
Walikuwa wakitafuta mbinu ya kumfanya no.2 wa wakati huo awe mama wa nyumbani na subwoofer wa enzi hizo awe ndiye no.1 huku Diblo Dibala akiwekwa no.2Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini?.
Naam umenipa dot muhimu sana.Hii ilihitaji right time to announce lakini lilikuwa mikononi mwa ile kamati kuu inayongalia usalama wetu. Ukipata wasaa muulize yule mzee wa kitengo aliyepo same mashariki " Apostle kuna miujiza huku" Nini kilitokea na yeye ana play part kubwa ya decision influencing kwenye kuandaa hadhara ipate kusikia.mudhui mahususi.
Ilikuwa ngumu kutoa taarifa moja kwa moja kutokana na usiri ndani ya jamuhuri na usiri wa wale wangemrithi. Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito a heads of nation. Hence watu tujiandae Kisaikolojia
Nukta nyingine fikirishiUkiua Kwa upanga utakufa Kwa upanga,unamwulizia alioagiza wanaompinga vitazake wauwawe?...
basi tutafute ukweli wa waliotangulia kufanyiwa ubaya kipindi chake. Kila mtu anaumuhimu hii Dunia
Kuna mhuni mmoja anakataa wahuni wenzake huko.Ilikuwa ngumu kutoa taarifa moja kwa moja kutokana na usiri ndani ya jamuhuri na usiri wa wale wangemrithi. Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito a heads of nation. Hence watu tujiandae Kisaikolojia
Unahisi kule waliambiwa kutokana na ukarabu wa Hussein na John au kwakuwa yule ni head of state au kwakuwa ametumikia idara ya Ulinzi kwa mda mrefu hivo trust ilikuwa kubwa kwake?Elewa mada. Tarehe 12 tukio lilitokea lakini kukawa na ukimya Fulani kama vile subirinshetani capitalize ila kule ngambo ya maji wao walishasitusha mipango mingine ya kiserikali!
Wakisubiria tamko Rasmi la Nini kitafanyika katika muktadha wake na wapenzi wa Timu zote husika.
Atakuwa kadanganywa na yeye akadanganya hivyo sio kosa lake ni amekoseshwa ila baada ya kujua alikoseshwa, na baada ya kuujua ukweli halisi wa kilichotokea tarehe 12 Machi, alipaswa kuomba radhi kwa ku apologise or just say sorry.
Kitendo cha kusema uongo mchana kweupe tena kwenye kadamnasi ya watu na ukajua ulisema uongo mkubwa vile, nchi za wenzetu ni unawajibika!.
Kitendo cha kutoomba radhi ni dharau kubwa kuwa wote wale aliowadanganya anawaona ni majuha hawastahili kuombwa radhi.
P
Lakini ata Mwalimu inasemekana aliondoka kabla ya tarehe 14 ila hawakutaka kusema mapema!Hizo siku tano watu walikuwa wanagawana nyara na kujaribu kuvunja Katiba.
Wahusika hawawezi kukujibu hili...
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
Mnamuonea bure tu huyo jamaa, toka Uhuru mmekuwa mkijazwa uongo na hamjawahi kuombwa radhi na yeyote ila kwa kuwa yeye hatokani na mirengo yenu mmeamua kumgeuza gunia la lawama.........acheni double standards.....acheni unafiki.Atakuwa kadanganywa na yeye akadanganya hivyo sio kosa lake ni amekoseshwa ila baada ya kujua alikoseshwa, na baada ya kuujua ukweli halisi wa kilichotokea tarehe 12 Machi, alipaswa kuomba radhi kwa ku apologise or just say sorry.
Kitendo cha kusema uongo mchana kweupe tena kwenye kadamnasi ya watu na ukajua ulisema uongo mkubwa vile, nchi za wenzetu ni unawajibika!.
Kitendo cha kutoomba radhi ni dharau kubwa kuwa wote wale aliowadanganya anawaona ni majuha hawastahili kuombwa radhi.
P
Wapuuzi kwa mujibu wa nani? wa mtekaji na wafuasi wake?Wewe na mimi ambao hatukutekwa je? Walitekwa wapuuzi tu.