Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana.
Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda baada ya kuhakikisha hakuna madhara yanayotokea kwa jamii, mali na usalama wa Taifa wa Nchi yao.
Ilifika mahali watu wengi watalaam wa siasa walidhani sasa Mh Rais Ruto anaweza kushindwa na Vugu vugu lile akaachia ngazi.
That Man is very Brave and inteligent. He handle very well that Crisis.
Na kwa hakika Ruto ni Rais Bora kabisa sio tu kwa Ukanda wa Afrika mashariki bali pia kwa Afrika bara zima baada ya South Afrika na Egypt.
Sasa tuje kwetu hapa nyumbani.
Je maandamano tu ya amani ndio yanafanya Organization na Instrumentation ya namna hii?
Tanzania ni Nchi ya amani. Vyombo vyote viungano kuhakikisha usalama wakati wa Maandamano ya Raia.
Huu ni Mtihani kwenu Mamalaka. Tusishindwe na Wakenya n
Jirani zetu.