Duh,
Mbona machawa wa mama mnapenda kuleta propaganda na uongo kwenye kila jambo?!!!
Nani kakudanganya kuwa jeshi la Kenya ni dhaifu? Tewekee hapa reference ya kuthibitisha kauli yako.
Kwa mujibu wa taarifa ya "Military Africa" ya 2023 kuhusu nguvu ya majeshi ya Afrika, Kenya ni namba 8 na Tanzania namba 9.
Top 10 strongest militaries in Africa. When it comes to measuring the strength of a military, there are several factors to consider. Some of these include budget, training, equipment, and manpower.…
Na kwa mwaka huu 2024, kwenye ranking ya "Global Fire Power", jeshi la Kenya limeshika namba 12, la Tanzania namba 18.
Ranking the military powers of Africa by country, from strongest to weakest.
www.globalfirepower.com