Mashambulizi ya chama tawala kati ya lisu na mbowe yatatoa mwanga kwa upinzani kwa sababu upinzani sio chama ni ideology 🤔
Lissu shikilia hapo hapo mpaka watoke shimoni kama viongozi wa Hamas
atakuja kuwa kama mremaNi dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja.
Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja?
Je hawezi mmoja kumdhuru akamtupia lawa ma mwingine?
Ni hatari kwake
Umeongea jambo la Msingi hiki kiti siku notice kabisa Leo Askofu Shoo katoka mafichoni Baada ya spana za Lisu..amsha amsha ya Tundu Lissu imewaibua Maaskofu ambao wametoa tamko kukemea yanayoendelea ktk mchakato wa uchaguzi.
..Lissu amekuwa kama Baba hapa Tanzania ambaye asipokuwepo watoto wanarandaranda na nidhamu inapotea ndani ya nyumba.
Historia ya Lisu ndiyo inambeba hajaanza Leoatakuja kuwa kama mrema
Lissu ana siasa za kiuana harakati na maji taka. ingawa Mbowe naye angeanza kugroom akina Heche wenye ujasiri kukiongoza chama.Historia ya Lisu ndiyo inambeba hajaanza Leo
Hata press ya Nchimbi na Tamisemi ni kutokana na Lisu kuwanyooshea maelezo...Maaskfofu wamejitokeza kulaani ukikwaji unaoendelea.
..Lissu asingekemea mambo hayo hakuna mtu angejisumbua na kinachoendelea.
Lissu ana siasa za kiuana harakati na maji taka. ingawa Mbowe naye angeanza kugroom akina Heche wenye ujasiri kukiongoza chama.
apewe maua yakeLissu ndio mpinzani wa kweli nchi hii.
apewe maua yakeLissu ndio mpinzani wa kweli nchi hii.
apewe maua yakeLissu ndio mpinzani wa kweli nchi hii.
na Mrema alibebwa na historia akajiona anapendwa kweli...aliishia TLP mfu!Historia ya Lisu ndiyo inambeba hajaanza Leo