Je, Lissu ameamua kuwa na maadui wawili kwenye siasa?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
743
Reaction score
1,839
Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja.

Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja?

Je hawezi mmoja kumdhuru akamtupia lawa ma mwingine?

Ni hatari kwake
 
Mashambulizi ya chama tawala kati ya lisu na mbowe yatatoa mwanga kwa upinzani kwa sababu upinzani sio chama ni ideology 🤔
 
..amsha amsha ya Tundu Lissu imewaibua Maaskofu ambao wametoa tamko kukemea yanayoendelea ktk mchakato wa uchaguzi.

..Lissu amekuwa kama Baba hapa Tanzania ambaye asipokuwepo watoto wanarandaranda na nidhamu inapotea ndani ya nyumba.
 
Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja.

Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja?

Je hawezi mmoja kumdhuru akamtupia lawa ma mwingine?

Ni hatari kwake
atakuja kuwa kama mrema
 
..amsha amsha ya Tundu Lissu imewaibua Maaskofu ambao wametoa tamko kukemea yanayoendelea ktk mchakato wa uchaguzi.

..Lissu amekuwa kama Baba hapa Tanzania ambaye asipokuwepo watoto wanarandaranda na nidhamu inapotea ndani ya nyumba.
Umeongea jambo la Msingi hiki kiti siku notice kabisa Leo Askofu Shoo katoka mafichoni Baada ya spana za Lisu
 
Historia ya Lisu ndiyo inambeba hajaanza Leo
Lissu ana siasa za kiuana harakati na maji taka. ingawa Mbowe naye angeanza kugroom akina Heche wenye ujasiri kukiongoza chama.
 
..Maaskfofu wamejitokeza kulaani ukikwaji unaoendelea.

..Lissu asingekemea mambo hayo hakuna mtu angejisumbua na kinachoendelea.
Hata press ya Nchimbi na Tamisemi ni kutokana na Lisu kuwanyooshea maelezo.
 
Lissu ana siasa za kiuana harakati na maji taka. ingawa Mbowe naye angeanza kugroom akina Heche wenye ujasiri kukiongoza chama.

..mazingira ya siasa zetu, na matendo ya serikali, ndio yanazalisha wanasiasa wanaharakati kama Tundu Lissu.

..wapinzani wangekuwa hawanyanyaswi, na kukandamiza, kana kwamba ni raia wa daraja la pili, wangekuwa wanazungumza lugha tofauti.
 
Back
Top Bottom