William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Jibu NI hakuna Jipya lolote kesho.
Iwapo ataongea atazungumzia democrasia, Kisha kupigwa risasi, Uhuru na kujieleza na maswala ya kisheria ambayo hayana msaada wowote kwa mkulima wa pamba aliyekopwa pamba hajalipwa uko mwafuguji, Au mkulima wa mahindi aliyekosa soko zuri la mazao yake uko tandaimba, Au mkulima wa karafuu anayelia na soko bovu la karafuu na Bei du wakati watu wa magendo wanaweza kununua kwa Bei nzuri.
Yeye atakuja na mawazo kuwa watu hao wamezoea shida zao na kuona kawaida na kundelea kuwasimulia habari za kamera kuondolewa kwenye makazi yake na kufukuzwa ubunge.
Kitu wanachotakiwa kujua wanasiasa wetu NI kuwa wajue watu wanataka Nini. Siasa za kujiangalia NI za kipuuzi.
Jifunzeni kwa Martine Luther kingi aliyepitia kwenye wimbi la ubaguzi, kesi na misukosuka au Mandela lkn always wakipewa chance hasimulii habari za jela kuzungumza huanza kuwasemea watu sio yeye.
Tundu zijue changamoto fanya utafiti wa makwazo na namna nzuri ya kuyatatua na kujenga hoja za kuvutia.
Natamani tupate jemsi mapalala na cuf ya 92-94. Alisimama kuzungumza juu ya pamba na uonevu wa ushirika shireku. Alipinga Kodi za kichwa, baiskeli, makanyagio kwa dhati. Alifananisha jembe na nyundo za CCM Kama silaha dhidi za mnyonge na sio alama za mkulima na mfanyakazi. Alifanikiwa kushinikiza soko huria la pamba na ndie aliyeacha element za upinzani Kanda ya ziwa. Alianzisha chama Cha wananchi CW. Nasikitika baada ya CCM kufanikiwa kumuondoa kwenye siasa na kumtoa Uongozi wa Cuf hakuna chama Cha siasa ambacho kimejikita kabisa kuwa sauti ya watu. Wote hupigania Mambo yao binafsi. Hutumia umma kujinufaisha na sio wao kujinufaisha umma.
Watanzania NI waelewa Sana. Kuna watu wapo wanaosimama kwa niaba ya watu na wengine walikuwepo lkn chama Cha siasa ambacho NI sauti ya watu hakipo.
-alikuwepo zitto Yule aliyedili na karamagi. Ila sio huyu wa Sasa asiyejua ata kero na njia za kumkomboa mkulima wa alizeti au daktari ambae hajapanda daraja miaka 7.
- alikuwepo wangwe aliyeubana mgodi kulipa Karo zote za wanafunzi Sekondari tarime.
-Yupo bulaya na Mnyika waliozungumza juu ya kikokotoo Cha wastafu bila kumungunya.
Ila vyama vya siasa Kama vyama vinakosa ajenda vipi kwenye taifa linaloendelea na changamoto zipo mpaka viendelee kuwatumia wahuni kupiga majungu yasiyo na msaada kwa masikini Kama kigogo au kimambi!?