Uchaguzi 2020 Je, Lissu atakuwa na jipya katika hotuba yake kesho?

Uchaguzi 2020 Je, Lissu atakuwa na jipya katika hotuba yake kesho?

Wale wale mnao wapigia magoti na bakuli lenu
Sana saana watakaomsikiliza atawaletea habali njema ya ushoga, maana ndo wamebaki wafadhili wake huko,
Chini ya jua hana jipya labda abadili sera zake.
 
Mtu mwenye hasira ubongo hufungwa na takataka hawezi kuongea Cha kujenga pale kutoa hasira zake. Ndio maana Mandela alisema kiongozi hutakiwi kuchukia. Chuki huondoa uwezo wa kufikiria
Mwenye hasira na chuki ni yule anayejibu hoja za kisiasa na kisheria kwa kutumia risasi.
 
Back
Top Bottom