Uchaguzi 2020 Je, Lissu atakuwa na jipya katika hotuba yake kesho?

Uchaguzi 2020 Je, Lissu atakuwa na jipya katika hotuba yake kesho?

Kwa kifupi itakuwa ni vijembe na mipasho.hana jipya yule mabaga.wa TZ tushampuuza muda mrefu.

Bora umemjibu ndugu yako mnayeteseka na kuweweseka pamoja!

Yes,hatakuwa na jipya na atakuwa na mipasho!so what????
 
Mbona mnateseka sana juu ya Lissu? Mlishindwa kuondoa uhai wake lkn bado mnamuandama kila kukicha
Jibu NI hakuna Jipya lolote kesho.

Iwapo ataongea atazungumzia democrasia, Kisha kupigwa risasi, Uhuru na kujieleza na maswala ya kisheria ambayo hayana msaada wowote kwa mkulima wa pamba aliyekopwa pamba hajalipwa uko mwafuguji, Au mkulima wa mahindi aliyekosa soko zuri la mazao yake uko tandaimba, Au mkulima wa karafuu anayelia na soko bovu la karafuu na Bei du wakati watu wa magendo wanaweza kununua kwa Bei nzuri.

Yeye atakuja na mawazo kuwa watu hao wamezoea shida zao na kuona kawaida na kundelea kuwasimulia habari za kamera kuondolewa kwenye makazi yake na kufukuzwa ubunge.

Kitu wanachotakiwa kujua wanasiasa wetu NI kuwa wajue watu wanataka Nini. Siasa za kujiangalia NI za kipuuzi.

Jifunzeni kwa Martine Luther kingi aliyepitia kwenye wimbi la ubaguzi, kesi na misukosuka au Mandela lkn always wakipewa chance hasimulii habari za jela kuzungumza huanza kuwasemea watu sio yeye.
Tundu zijue changamoto fanya utafiti wa makwazo na namna nzuri ya kuyatatua na kujenga hoja za kuvutia.

Natamani tupate jemsi mapalala na cuf ya 92-94. Alisimama kuzungumza juu ya pamba na uonevu wa ushirika shireku. Alipinga Kodi za kichwa, baiskeli, makanyagio kwa dhati. Alifananisha jembe na nyundo za CCM Kama silaha dhidi za mnyonge na sio alama za mkulima na mfanyakazi. Alifanikiwa kushinikiza soko huria la pamba na ndie aliyeacha element za upinzani Kanda ya ziwa. Alianzisha chama Cha wananchi CW. Nasikitika baada ya CCM kufanikiwa kumuondoa kwenye siasa na kumtoa Uongozi wa Cuf hakuna chama Cha siasa ambacho kimejikita kabisa kuwa sauti ya watu. Wote hupigania Mambo yao binafsi. Hutumia umma kujinufaisha na sio wao kujinufaisha umma.

Watanzania NI waelewa Sana. Kuna watu wapo wanaosimama kwa niaba ya watu na wengine walikuwepo lkn chama Cha siasa ambacho NI sauti ya watu hakipo.
-alikuwepo zitto Yule aliyedili na karamagi. Ila sio huyu wa Sasa asiyejua ata kero na njia za kumkomboa mkulima wa alizeti au daktari ambae hajapanda daraja miaka 7.
- alikuwepo wangwe aliyeubana mgodi kulipa Karo zote za wanafunzi Sekondari tarime.
-Yupo bulaya na Mnyika waliozungumza juu ya kikokotoo Cha wastafu bila kumungunya.

Ila vyama vya siasa Kama vyama vinakosa ajenda vipi kwenye taifa linaloendelea na changamoto zipo mpaka viendelee kuwatumia wahuni kupiga majungu yasiyo na msaada kwa masikini Kama kigogo au kimambi!?
 
Wanajibaraguza lkn moyoni wanajua kuwa Lissu ndiye mkombozi wa kweli wa watanzania
Mnawashwa sana! Lissu anatumia muda wake, resources zake, akili zake, kinachowawasha ni kitu gani? Kwanini mnahangaika na mtu ambaye "hana jipya"??
 
Nonsense
Sio kipaombele Cha taifa. Watu wanakero nyingi hakuna wa kuwasemea. Hakuna anayezijua, hakuna anayefanya utafiti. Wanasiasa mnawaza visasi, kuutoa CCM madarakani na tume huru ili muwe Viongozi.
Wafanyabiasha, wafanyakazi wanavitu vingi vya kusemewa Ila nyie mnajiwazia wenyewe upuuzi mtupu.
 
Unaonekana nawe ni kati ya walio kosea kummaliza pale dom
Tundu angetaka sifa, angeendelea kupambana na wazungu wanao tuibia hapo angekuwa maafuru, lakini kutaka kupambana na wazawa huku akijificha kwa wazungu, hapo atakwama,

Ni bora hata angeenda kujificha zimbabwe, angeonekana wa maana kidogo,
Tungesema anaheshimu uafrika wetu.
 
Aliwaambia watanzania, siyo wewe mnyarwanda
Kama ni non my business kwa nini alitutangazia tumsikilize kesho, si angeongea chumbani kwake kisha arushe kwenye mtandao kisha awambie bavicha ndo wasikilize?
 
Aliwazalo mpumbavu ndiyo umtokea
Acha wamsukumizie huko kisha wampe pesa za kampeni, maana huku mwenyekiti na yeye wamekula pesa yote, kibubu hakina kitu.
Na safari hii mtakusanya michango mpaka ya mihogo na mahindi.
 
Aliwaambia watanzania, siyo wewe mnyarwanda

Sana saana watakaomsikiliza atawaletea habali njema ya ushoga, maana ndo wamebaki wafadhili wake huko,
Chini ya jua hana jipya labda abadili sera zake.
 
Hofu ya nini ww mbwa? LISSU YUPO KWENYE MIOYO YA WATZ wkty ccm ipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi
 
Pesa ya kampeni.mummemuandalia?
Au ndo anataka kutuambia kuwa keshapewa na wakwale wa huko?
Pesa zilizochangwa na wabunge kwa ajili ya uchaguzi Mbowe keshazitafuna 8.9 billion. Sasa unaregemea atapata wapi hela za kampeni wasipompa hao anaowatetea ili waoane Kama wabunge wao wa jinsia moja?
JamiiForums1132841034_148x256.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesoma hoja na kujua Niko upande gani?! Mi sio shabiki kindakindaki. Lengo letu liwe Kupiga hatua kwenye maendeleo ya watu binafsi Kisha taifa. Bila kujali chama, nachotamani NI kuona tunajikita kwenye hoja za watu na kuzifanyia Kazi. Ata ikitokea CCM imejua na kufanya tunachokitaka tunaiunga mkono. Ndio maana nataka nisikie hoja zinazohusu mataizo ya watu moja kwa moja sio general ama katiba. Kama kipo Cha NDANI ya katiba kinachofanya Bei za mazao ziwe chini.bei ya sukari iwe juu Basi kisemwe hicho moja kwa moja sio katiba. Sasa sisi wa nyanchabakene tutaelewa vipi malengo yenu.

Hayo matatizo yote ya watu yapo kwenye ilani, wakati wa kampeni atayanadi hayo matatizo yenu. Leo atazungumza mwelekeo wa nchi kwa ujumla wake. Je una hoja nyingine nikupe ufafanuzi?
 
Back
Top Bottom