William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Kwa nini unateseka kabla ya muda. Tulia. Dawa iwaingieJibu NI hakuna Jipya lolote kesho.
Iwapo ataongea atazungumzia democrasia, Kisha kupigwa risasi, Uhuru na kujieleza na maswala ya kisheria ambayo hayana msaada wowote kwa mkulima wa pamba aliyekopwa pamba hajalipwa uko mwafuguji, Au mkulima wa mahindi aliyekosa soko zuri la mazao yake uko tandaimba, Au mkulima wa karafuu anayelia na soko bovu la karafuu na Bei du wakati watu wa magendo wanaweza kununua kwa Bei nzuri.
Yeye atakuja na mawazo kuwa watu hao wamezoea shida zao na kuona kawaida na kundelea kuwasimulia habari za kamera kuondolewa kwenye makazi yake na kufukuzwa ubunge.
Kitu wanachotakiwa kujua wanasiasa wetu NI kuwa wajue watu wanataka Nini. Siasa za kujiangalia NI za kipuuzi.
Jifunzeni kwa Martine Luther kingi aliyepitia kwenye wimbi la ubaguzi, kesi na misukosuka au Mandela lkn always wakipewa chance hasimulii habari za jela kuzungumza huanza kuwasemea watu sio yeye.
Tundu zijue changamoto fanya utafiti wa makwazo na namna nzuri ya kuyatatua na kujenga hoja za kuvutia.
Natamani tupate jemsi mapalala na cuf ya 92-94
Jibu NI hakuna Jipya lolote kesho.

[emoji1][emoji1][emoji1]Nyie mnaweweseka sana, kama hakuna kwanini mnatumia nguvu nyingi kuandika ujinga? You better shut up your ass
Mnawashwa sana! Lissu anatumia muda wake, resources zake, akili zake, kinachowawasha ni kitu gani? Kwanini mnahangaika na mtu ambaye "hana jipya"??
This is non of your business... Mboña mnawashwa sana?Pesa ya kampeni.mummemuandalia?
Au ndo anataka kutuambia kuwa keshapewa na wakwale wa huko?
Jibu NI hakuna Jipya lolote kesho.
Iwapo ataongea atazungumzia democrasia, Kisha kupigwa risasi, Uhuru na kujieleza na maswala ya kisheria ambayo hayana msaada wowote kwa mkulima wa pamba aliyekopwa pamba hajalipwa uko mwafuguji, Au mkulima wa mahindi aliyekosa soko zuri la mazao yake uko tandaimba, Au mkulima wa karafuu anayelia na soko bovu la karafuu na Bei du wakati watu wa magendo wanaweza kununua kwa Bei nzuri.
Yeye atakuja na mawazo kuwa watu hao wamezoea shida zao na kuona kawaida na kundelea kuwasimulia habari za kamera kuondolewa kwenye makazi yake na kufukuzwa ubunge.
Kitu wanachotakiwa kujua wanasiasa wetu NI kuwa wajue watu wanataka Nini. Siasa za kujiangalia NI za kipuuzi.
Jifunzeni kwa Martine Luther kingi aliyepitia kwenye wimbi la ubaguzi, kesi na misukosuka au Mandela lkn always wakipewa chance hasimulii habari za jela kuzungumza huanza kuwasemea watu sio yeye.
Tundu zijue changamoto fanya utafiti wa makwazo na namna nzuri ya kuyatatua na kujenga hoja za kuvutia.
Natamani tupate jemsi mapalala na cuf ya 92-94
Sio kipaombele Cha taifa. Watu wanakero nyingi hakuna wa kuwasemea. Hakuna anayezijua, hakuna anayefanya utafiti. Wanasiasa mnawaza visasi, kuutoa CCM madarakani na tume huru ili muwe Viongozi.Ukipata nafasi utupe maoni yako kuhusu hawa wazalendo wanaotaka kinga ili wasishitskiwe, huku wakihubiri kuwa wanatetea wanyonge. Unapata picha gani mtu anayehubiri kupendwa kisha anajiwekea kinga ya kutoshtakiwa?
Wewe shemeji yake Dr. Mihogo tuliza kishundu hicho ngoja kesho umsikilize ndiyo usemeJibu NI hakuna Jipya lolote kesho.
Iwapo ataongea atazungumzia democrasia, Kisha kupigwa risasi, Uhuru na kujieleza na maswala ya kisheria ambayo hayana msaada wowote kwa mkulima wa pamba aliyekopwa pamba hajalipwa uko mwafuguji, Au mkulima wa mahindi aliyekosa soko zuri la mazao yake uko tandaimba, Au mkulima wa karafuu anayelia na soko bovu la karafuu na Bei du wakati watu wa magendo wanaweza kununua kwa Bei nzuri.
Yeye atakuja na mawazo kuwa watu hao wamezoea shida zao na kuona kawaida na kundelea kuwasimulia habari za kamera kuondolewa kwenye makazi yake na kufukuzwa ubunge.
Kitu wanachotakiwa kujua wanasiasa wetu NI kuwa wajue watu wanataka Nini. Siasa za kujiangalia NI za kipuuzi.
Jifunzeni kwa Martine Luther kingi aliyepitia kwenye wimbi la ubaguzi, kesi na misukosuka au Mandela lkn always wakipewa chance hasimulii habari za jela kuzungumza huanza kuwasemea watu sio yeye.
Tundu zijue changamoto fanya utafiti wa makwazo na namna nzuri ya kuyatatua na kujenga hoja za kuvutia.
Natamani tupate jemsi mapalala na cuf ya 92-94
This is non of your business... Mboña mnawashwa sana?