Uchaguzi 2020 Je, Lissu atakuwa na jipya katika hotuba yake kesho?

Mashoga wenzake watafuatilia hotuba
 
Kama ni non my business kwa nini alitutangazia tumsikilize kesho, si angeongea chumbani kwake kisha arushe kwenye mtandao kisha awambie bavicha ndo wasikilize?
You don't deserve hata reply yangu.
 

Ni kweli kabisa, ccm si ndio wengi, wao wasemee hayo matatizo, acha wengine wasemee ulinzi wa katiba. Kwahiyo hiyo kinga ni ili kujilinda na visasi? Visasi vinatoka wapi wakati unatenda kwa mujibu wa sheria? Kwahiyo hapo anayejijali ni yupi, hiyo anayetaka kinga binafsi au nani? Kwanini huko bungeni wasijadili hayo matatizo ya watu, bali wanajidili kinga ya genge la watu?
 
Na Kama hiyo ndio Imani ya Viongozi wenu wa upinzani Basi hamna dira na hamjui mnakoelekea
 
Hata mungu aliwaondoa wale waliokuwa wanafanya kinyume hu sodoma, kwa hiyo kama alienda kinyume basi ndo hivyo.
Sipendi mijadala inayochochea chuki za kisiasa na kutuwekea uadui kwa misingi ya siasa. Nje ya vyama na Imani zetu sisi wote NI watanzania
 
*aache kashfa,ajenge hoja
*asimshambulie magu personal
*apitie safari ya Obama hadi rais
*asitaje kamwe kulipa kisasi
*atafute coalition ya vyama vya siasa hasa ACT na leftovers wote kutoka CCM mf. wa Membe na wengi wengineo

*awe mnyenyekevu na ayaelewe matatizo ya wananchi na utatuzi wake
*asipandikize wala kuendeleza chuki
*asiponde viongozi walioko madarakani au waliopita personal

*akiwa kwenye kampeni Magu aliahidi Milioni 50 kwa kila kijiji na Lowasa aliahidi mwenye nyumba 1 kumiliki nyumba3....yeye aahidi kutoa vyote ndani ya miezi 13
*aahidi kushughulikia kesi ya akina Rugemalira wa escrow mapema

*atamlinda mtangulizi wake na maofisa wote waliodhulumu taifa kwa namna yeyote
*akifanikiwa kuwa rais aahidi kuheshimu katiba

#namtakia kila la kheri japo sitarajiii kupiga kura
 
Unamawazo makubwa na yakizalendo kwelikweli sema washabiki wa vyama vyaa siasa hawana hoja NI kuponda na kutambiana Kama vitoto tu
 
Ndugu Lissu , usisahau methali bora ya Kiswahili "Akufanyiaye ubaya, mlipe wema" barikiwa sana karibu Nyumbani.
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
 
Wewe ndiyo siyo muelewa ngoja umsikilize sasa hajaongea wewe unaanza kujinyea nyea subirini dawa iwaingie fresh washamba wakubwa nyie
Huwezi kujadili bila kutukana. Kama dhamira yetu NI moja maisha Bora kwa watu hatuwezi kutofautiana. Tuache ushabiki wa kisiasa
 
Nyie mngekuwa mnajua mnakoelekea, nchi hii bado ingekuwa masikini?
Umesoma hoja na kujua Niko upande gani?! Mi sio shabiki kindakindaki. Lengo letu liwe Kupiga hatua kwenye maendeleo ya watu binafsi Kisha taifa. Bila kujali chama, nachotamani NI kuona tunajikita kwenye hoja za watu na kuzifanyia Kazi. Ata ikitokea CCM imejua na kufanya tunachokitaka tunaiunga mkono. Ndio maana nataka nisikie hoja zinazohusu mataizo ya watu moja kwa moja sio general ama katiba. Kama kipo Cha NDANI ya katiba kinachofanya Bei za mazao ziwe chini.bei ya sukari iwe juu Basi kisemwe hicho moja kwa moja sio katiba. Sasa sisi wa nyanchabakene tutaelewa vipi malengo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…