Uchaguzi 2020 Je, Lissu atakuwa na jipya katika hotuba yake kesho?

Unamjua kwani mumeo huyo?
Mtu mwenye hasira ubongo hufungwa na takataka hawezi kuongea Cha kujenga pale kutoa hasira zake. Ndio maana Mandela alisema kiongozi hutakiwi kuchukia. Chuki huondoa uwezo wa kufikiria
 
Kwa kifupi itakuwa ni vijembe na mipasho.hana jipya yule mabaga.wa TZ tushampuuza muda mrefu.

Bora umemjibu ndugu yako mnayeteseka na kuweweseka pamoja!

Yes,hatakuwa na jipya na atakuwa na mipasho!so what????
 
Mbona mnateseka sana juu ya Lissu? Mlishindwa kuondoa uhai wake lkn bado mnamuandama kila kukicha
 
Wanajibaraguza lkn moyoni wanajua kuwa Lissu ndiye mkombozi wa kweli wa watanzania
Mnawashwa sana! Lissu anatumia muda wake, resources zake, akili zake, kinachowawasha ni kitu gani? Kwanini mnahangaika na mtu ambaye "hana jipya"??
 
Nonsense
 
Unaonekana nawe ni kati ya walio kosea kummaliza pale dom
 
Aliwaambia watanzania, siyo wewe mnyarwanda
Kama ni non my business kwa nini alitutangazia tumsikilize kesho, si angeongea chumbani kwake kisha arushe kwenye mtandao kisha awambie bavicha ndo wasikilize?
 
Aliwazalo mpumbavu ndiyo umtokea
Acha wamsukumizie huko kisha wampe pesa za kampeni, maana huku mwenyekiti na yeye wamekula pesa yote, kibubu hakina kitu.
Na safari hii mtakusanya michango mpaka ya mihogo na mahindi.
 
Wewe mwenyewe umeandika pumba na upotolo
Toka nimsikilize kwenye Hardtalk alivyokuwa anaongea pumba kwa mabeberu nilianza kumpuuzia,ntaanza kumsikiliza akishapona na kurudi nyumbani.
 
Aliwaambia watanzania, siyo wewe mnyarwanda

Sana saana watakaomsikiliza atawaletea habali njema ya ushoga, maana ndo wamebaki wafadhili wake huko,
Chini ya jua hana jipya labda abadili sera zake.
 
Hofu ya nini ww mbwa? LISSU YUPO KWENYE MIOYO YA WATZ wkty ccm ipo kwenye mioyo ya polisi na tume ya uchaguzi
 
Pesa ya kampeni.mummemuandalia?
Au ndo anataka kutuambia kuwa keshapewa na wakwale wa huko?
Pesa zilizochangwa na wabunge kwa ajili ya uchaguzi Mbowe keshazitafuna 8.9 billion. Sasa unaregemea atapata wapi hela za kampeni wasipompa hao anaowatetea ili waoane Kama wabunge wao wa jinsia moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hayo matatizo yote ya watu yapo kwenye ilani, wakati wa kampeni atayanadi hayo matatizo yenu. Leo atazungumza mwelekeo wa nchi kwa ujumla wake. Je una hoja nyingine nikupe ufafanuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…