Utajiri anatoa Mungu.
Mungu yuko juu ya uwezo wako wa kufikiri so huwez kumfikiria katika namna yako na akili yako.
Kanuni bado zipo, lakini utajiri wa kwanza ni akili.
Whites wana akili na creativity ya juu sana.
Kuwa billionaire ( in terms of dollar) kwa uchuuzi ni ngumu.
99% ambayo ni sisi huwa tuna ridhika.
Tunajiwekea mipaka ya kusonga mbele kwa mawazo, akili, tabia, ibada, na mwitikio wa mambo.
Kijana wa Tz akiinuka kidogo basi madem wengi, starehe, mabaunsa, kazi anasahau, utafiti unashuka, mwitikio wa vitu unashuka. HII NI LIMIT tuliyonayo 99%
Watu ambao hawajamjua Mungu, utajiri na mali, ni umasikini.
Watu ambao hawajamjua Mungu, hawajui fedha, na hawajui mali, ni za nani.
Haiwezekani, mtu ambaye hajamjua Mungu akawa tajiri, na akawa na mali.
Inawezekana, mtu akapata na mali, na akapata utajiri, kwa udanganyifu na njia zisizo haki. Huu ni umasikini.
Utajiri na mali, ni "Baraka" na "Zawadi" kutoka kwa Mungu. Sasa baraka maana yake ni nini, na zawadi maana yake nini.
Kuwa tajiri, na kuwa na mali: Kunataka kwanza kabisa "Hekima", kama kitu kinachotangilia vingine vyote. Sasa, hekima maana yake ni nini; na, ili mtu uwe na hekima unatakiwa uweje; au ufanyeje.
Pili, "Unayatazamaje mambo", ndio akili. Sio tu, kuhusu kuwa na ufahamu wa kawaida wa mambo, bali ni kuhusu kuwa na uewelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu. Je, unao uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu?