Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?


Lami karagwe imejengwa kabla hata ya uhuru,punguza ujuaji
 
Huruhusiwi kuendesha baiskeli huko ukipiga pedal 3 unaingia kwenye maji haitofautiani sana na zanzibar ambapo unaweza kukusanya nchi nzima kwa kupiga filimbi
😂 kutoka kilindoni hadi utende penye hotel na fukwe za kitalii ni 13.6km. Kutoka kilindoni hadi kata ya mwisho ni km 40+..hiyo kwa barabara kuu.
 
[emoji23] kutoka kilindoni hadi utende penye hotel na fukwe za kitalii ni 13.6km. Kutoka kilindoni hadi kata ya mwisho ni km 40+..hiyo kwa barabara kuu.

mkuu nitafutie wadada wawili wazuri
na hotel moja ya bei cheee nije nile raha
afu ututembeze club na bar zote za hapo mafia
 
Changamoto ya Mafia ni usafiri wa uhakika. meli na kivuko kilichopo ratiba ya usafiri inaamuliwa na maji ya bahari kujaa.

Ratiba ya meli kutoka huku mafia kwenda nyamisati hufanyika usiku mnene kuanzia saa 6 usiku, saa 7 usiku hadi saa 9 usiku. Mabaharia wanadai ni kutokana na mkondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…