Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #101
@Mr Chronium uje ujionee mkuu
Nitakuja itabidi nikutafute kama unaijua mitaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Mr Chronium uje ujionee mkuu
Bei ni maelewano tu ila ruti mingi hata buku tano haifikiKama sh ngap
Bei ni maelewano tu ila ruti mingi hata buku tano haifiki
@Mr Chronium uje ujionee mkuu
Huruhusiwi kuendesha baiskeli huko ukipiga pedal 3 unaingia kwenye maji haitofautiani sana na zanzibar ambapo unaweza kukusanya nchi nzima kwa kupiga filimbi
Lami ipo kuanzia bandarini mpaka utende kwenye mahoteli ya watalii, ilijengwa kwa msaada wa wamarekani lakini pia lami za mitaani zinajengwa sasa na halmashauri punguza kushangaa halmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nk
Lami karagwe imejengwa kabla hata ya uhuru,punguza ujuaji
😂 kutoka kilindoni hadi utende penye hotel na fukwe za kitalii ni 13.6km. Kutoka kilindoni hadi kata ya mwisho ni km 40+..hiyo kwa barabara kuu.Huruhusiwi kuendesha baiskeli huko ukipiga pedal 3 unaingia kwenye maji haitofautiani sana na zanzibar ambapo unaweza kukusanya nchi nzima kwa kupiga filimbi
Lami karagwe imejengwa kabla hata ya uhuru,punguza ujuaji
[emoji23] kutoka kilindoni hadi utende penye hotel na fukwe za kitalii ni 13.6km. Kutoka kilindoni hadi kata ya mwisho ni km 40+..hiyo kwa barabara kuu.
kisiwa cha chole ndipo kuna yale magofu ya nyumba za kale na ndipo panavuliwa pweza kwa wingi. ingia Google ujionee mkuuMkuu chole ndo papoje nasikia sehemu inaitwa chole shamba
Ilijengwa karagwe ya wapi? OMurushaka, nyakahanga, kaisho, kayanga, nyaishozi au mabira? Utakuwa wa bushangaro weweLami karagwe imejengwa kabla hata ya uhuru,punguza ujuaji
kuna pub zenye pisi kali km cossovo na nyingine nyingi, ni kibunda yako tumkuu nitafutie wadada wawili wazuri
na hotel moja ya bei cheee nije nile raha
afu ututembeze club na bar zote za hapo mafia
Mafia iwe mkoa?Wangeipa mkoa badala ya Chato
Mafia Mkoa wa Pwani 🥰😘Hapana mi wa Madongo kuporomoka huku Zanzibar ndio wapi huko?? 🤔
Hapa mafia ?Beach ya tatu duniani kwa maji matamu. Hela yako tu
View attachment 2870798