Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Ukiwa nje ya Mafia utapewa maneno mengi ya kukutisha sijui uchawi na mengine mengi. Mimi ni mwenyeji Moshi nimefika Mafia nakaribia mwezi wa nne, huo uchawi mbona sijaona...kila mahali kuna uchawi msitishwe na stori za kuhadithiana
 
Ukiwa nje ya mafia utapewa maneno mengi ya kukutisha sijui uchawi na mengine mengi. Mimi ni mwenyeji Moshi nimefika mafia nakaribia mwezi wa nne, huo uchawi mbona sijaona...kila mahali kuna uchawi msitishwe na stori za kuhadithiana

Tuwekee picha za mtaani pakoje
 
Dar hamna uchawi wa kukabana
Uchawi wa dar ndo mbaya kuliko, huko unapigwa kimbora unaishia kulipa kodi kwa weye nyumba ukija kustuka imeisha miaka 20 na huna cha kuonesha na nguvu imeisha pia ukiishi dsm usiwe mzinzi au mlevi basi mizimu ya kwenu mikali sana inakulinda, huko ukijichanganya unakuwa teja au hata shoga kabisa, usichezena jiji
 
Mkuu haya madai ni ya uongo!!
Sehemu kwene majiji makubwa hawaendekezi mambo hayo ya ushirikina wa kukabana shingo uchawi wa mjini n chuma ulete na wa utafutaji wa fedha
 
Hata huko mikoani siku hizi washaacha uchawi wa kukabana na majinamizi, wachawi wa sasa wanapiga pini mambo hayaendi ndo utajua hujui. Wanatengeza mfumo ukiuingia ndo wanakuhesabia siku unapoteza mwelekeo, kukabana kizamani
 
hadi zama hizi bado unaogopa uchawi utakuwa siyo mzima kiakili, unaogopa vitu vya kufikirika[emoji849]

Mkuu siku ujichanganye ndio utajua!! Binafsi nilikua sitilii manani haya maswala

Mwaka mmoja nilienda mpwapwa kimasomo
Aisee huku nilikabwa mchana huku nikiwa nimelala usingizi.

Kuna sehemu hakufai
 
Back
Top Bottom