Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #41
Make kwanza nichekeeee...... bongo hii wapi hamna ndumba? Bongo hiko ni kipaji maalum kila kijiji kuna manguli kama huamini andaa mashindano ya mchawi bora uone
Dar hamna uchawi wa kukabana