kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
- Thread starter
- #221
Check your PM chiefWenye kuhitaji kujifunza haya mambo atanichek kupitia Email.
Meditation30@protonmail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check your PM chiefWenye kuhitaji kujifunza haya mambo atanichek kupitia Email.
Meditation30@protonmail.com
Tuko pamoja mkuu. Vp ilikuaje ukaanza kufuatilia haya mambo mkuuYaan hio passage tu uloandika watu wakiisoma, kuielewa, kuifuata na kuoractise ni tiba tosha kwa magonjwa ambayo hayana daktari hapa duniani.
Nimekulewa ila sababu ya kuzuia mushroom uliyotoa wewe Mimi sikuona uzito wake,na nilijikita zaidi kuonyesha kwamba madhara ya kiafya na kiakili ndio hasa hasa yana uzito,na kama zipo njia zingine za kufikia high consciousness ni sawa tu,Mimi Sizijui labda utupe somo tuNmekuambia pia, mushrooms ni njia tu ya shortcut..but njia ya kufikia higher consciousness zipo nyingi na hazijazuliwa wala kuwa controlled na serikali.je unazijua?
Sawa,Itahusisha Mushrooms?au ni elimu tu,,na tutachangia kiasi gani?Wenye kuhitaji kujifunza haya mambo atanichek kupitia Email.
Meditation30@protonmail.com
Mkuu haya mambo ni magumu.Ni free thinking,umeuliza swali na sisi tunajiuliza,ndio maana sababu aliyosema mdau kwamba serikali inazuia kwa sababu inaogopa itashidwa kuwa control watu mimi sikuona kama ina uzito kwa sababu nilizotoa hapo juu,hata ukiangalia tayari kuna juhudi za kutaka kuruhusu utumiaji hasa US,mfano jimbo la Oregon wameruhusu kutumia kitabibu chini ya uangalizi kwa majaribio kwanza bado wanalifanyia utafiti wa kina,kwahio huenda matumizi yakaruhusiwa hapo baadae
Naam wewe tuko pamoja.Mkuu ukishaanza tukusema hichi ni changu, gari yangu, mtoto wangu, wazazi wangu, dini yangu, elimu yangu, nchi yangu, nyumba yangu, mke wangu, kazi yangu siku uko-identified na thi ngs siku vikiondoka lazima uumie au mfano watu wengi wanaogopa kufa sio kwa sababu hawajui wanakokwenda ila wanaogopa kupoteza hivi wanavyovijua
Ni story ndefu sana nikiweka hapa haitokua sawa maana itahamisha mjadala, nmekuchk PM, Kama itawezekana kuonana kubadilishana mawazo itapendeza zaidi.Tuko pamoja mkuu. Vp ilikuaje ukaanza kufuatilia haya mambo mkuu
Unafahamu kama dawa nyingi za matatizo ya akili (Depression, anxiety,Panic disorders na GAD) hutengenezwa na Mushrooms?Nimekulewa ila sababu ya kuzuia mushroom uliyotoa wewe Mimi sikuona uzito wake,na nilijikita zaidi kuonyesha kwamba madhara ya kiafya na kiakili ndio hasa hasa yana uzito,na kama zipo njia zingine za kufikia high consciousness ni sawa tu,Mimi Sizijui labda utupe somo tu
Huitwa Psychedelic Drugs..
Hutumika kuua Ego (Our false Identity) ambayo umeitengeneza kupitia mind since ukiwa mdogo mpaka hapo ulipo...na inakuonyesha the real you..
Jukumu lako ni ku handle hyo path ambayo ni ngumu mnoo huitwa THE DARK NIGHT OF THE SOUL. ukimaliza hyo safari unakuwa mpya kabisa mwenye Consciousness ya hali ya juu mnoo..
Muongozo wa nn mkuuNaomba muongozo
Kiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.
Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Hilo sijui labda utoe elimu tufaidikeUnafahamu kama dawa nyingi za matatizo ya akili (Depression, anxiety,Panic disorders na GAD) hutengenezwa na Mushrooms?
Kikubwa ni kupata Elimu kutoka kwa mtu mwenye Ufahamu na hayo mambo na mwenye Really Experience...I mean aliye wahi kupitia hyo kitu. Hii kitu inafungua mafaili yote na takataka zote zilizo jificha kwenye SUBCONSCIOUS MIND..na kukuletea kwenye awareness yako..ni jukumu lako ku react on them ama ku respond.Unatakiwa uwe na mtu karibu akusaidie Au inakuwaje,?mbona nimetamani kujiona mpya
Achana nae huyo ni multiple I.d, huyo amefanya maovu mengi sana sasa anaogopa anaenda kujulikana waziwazi bila kifichoFix your thinking kwanza ndo uendelee ku-argue. Hadi hapo nshaona tatizo na ndo maana unakeep kuuliza maswali hayo
Kikubwa ni kupata Elimu kutoka kwa mtu mwenye Ufahamu na hayo mambo na mwenye Really Experience...I mean aliye wahi kupitia hyo kitu. Hii kitu inafungua mafaili yote na takataka zote zilizo jificha kwenye SUBCONSCIOUS MIND..na kukuletea kwenye awareness yako..ni jukumu lako ku react on them ama ku respond.
Unatakiwa ku respond badala ya ku react, don't fight with them..just notice them and let them pass.
Mfano wa hizo takataka ni Repressed Emotions (Unprocessed Emotions),chiki,fear, anxiety, depression,guilt,aibu,visasi, confusion.
All of them comes to the light 🕯️ of awareness and they pass
Ni very interesting journey wakuu na ni mada ndefu.
Sema sema,waambie hao wanasaikolojia uchwaraNmekuambia pia, mushrooms ni njia tu ya shortcut..but njia ya kufikia higher consciousness zipo nyingi na hazijazuliwa wala kuwa controlled na serikali.je unazijua?
Nani ana multiple Id?acha hisia,Hayo maovu yangu umeyaona wapi,na yatawekwa wazi wapi?Achana nae huyo ni multiple I.d, huyo amefanya maovu mengi sana sasa anaogopa anaenda kujulikana waziwazi bila kificho
Ni mfano tu nimetoa sio kweli umefanya maovu tunajua wewe ni mtu mwema sana.Nani ana multiple Id?acha hisia,Hayo maovu yangu umeyaona wapi,na yatawekwa wazi wapi?