Hizo mushrooms zinaitwa 'psiloccibin mushrooms".
Zinakua na psychedelic effect na ndo hyo inaitwa trip a.k.a safari.
Zinaweza kua consumed kwa kutafuna au kwa kuchanganya na maji ya moto kama chai.
Wengi wanasema unaeza kudata lakini hii ni kutokana na kutoelewa how to use them.
Hizi shrooms lazma uwe guided kama hujawahi kutumia. And here is the reason.
Kwanza lazma uanze na a small dose.
Pili, the guidance ni kwamba, unapotumia inafungua deep feelings ambazo kama hujaweza kucontrol unaeza jikuta u r dealing with bad feelings ambayo it leads to a bad trip.
So kwenye guidance, kwa mfano mtu anaeza kua guided kujaribu kuona future yake, so it takes ypur subconscious to another level and you can see vitu ambavyo kwenye normal senses huezi kuona.
Jamii nyingi za ndani ndani kama red indians na wale watu wanaoishi kwenye misitu ya amazon hua wanaitumia sana kama a form of deep meditation.
Hivyo bas, kama haujui vzur how to use them itakufanya uone mauza uza tu. N kama bangi, kama mtu hajui kuitumia vzur anaeza kuishia either kubembea au kupata mawenge ya kisoro, lakini kwa mtu anaejua misingi yake it can be used as a source of focus, au source of pleasure n.k.
Problem kubwa kwa nchi yetu n kwamba most times hatupati vitu standard so effect inakua haieleweki. Example bangi inayouzwa hovyo hovyo unaeza kuta leo umevuta sativa, kesho umevuta indica kwaio the effect inakua different. Mbaya zaidi ukivuta iliochanganywa na plama ndo kabisaa unajikuta umeanza kuwa mjate.
Lakini watu wanaovuta high grade wanapata a specific breed kwaio anapata the same effect everyday na inasaidia sana.