dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
ExactlyHii si inaota hovyo hovyo tu wakati wadogo tulikuwa tunaambiwa sumu sema sasa hivi haioti hovyo hovyo sijui kwa nini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ExactlyHii si inaota hovyo hovyo tu wakati wadogo tulikuwa tunaambiwa sumu sema sasa hivi haioti hovyo hovyo sijui kwa nini
Iko safe, lkn inabidi uwe makini sababu kuna jamii ya mushroom ni poisonuos. Huu uzi sijaweka kwa lengo la kuhamasisha watu watumie, nmeweka kuuliza msimamo wa nchi kisheria khs hio kitu. Kama utataka maelezo zaidi juu ya kutumia unaweza muuliza huyu DR BILGERTSorry my question is? Is it safe? What control measures zinatumuka ku control its effect?
Or kwa sababu ni new product so tunataka ku jump overboard?
Natamani kupata hiyo hudumaHiyo activity mtaiita kwa majina ya kizungu ionekane inavutia ila huo ni ushirikina wa kuvaa nguvu za giza (majini ambayo yatakuongoza uone ulimwengu utakavyo wewe au yatakuongoza wapendavyo wao)
Narudia tena huo ni ushirikina ambao upo hata ukikaa vizuri na wazee wetu watakusimulia na kukuonyesha maeneo unayoweza pata hiyo huduma huko vijijini...
Kuna kipindi huwa TBC inarushwa kuhusu mashroom ila sikuwai zinagtiaSasa kuna watu wanasema inaparalyse mwili, labda walikula ile poisonous, shrooms zenyewe zinakufanya uone maono zaidi ukiwa kwenye hio trip baada ya kuingest
Nlianzisha mada in form of story kuhusu hii issue lkn mods wakaweka uzi wangu entertainment forum, I found it meaningless sababu ile sio entertainmenr ni education ambayo CEOs, High performing athletes na wasanii wakubwa wanalipia madollars kupata coaches wa kuwasaidia kwenye hilo.Inabidi ujue kwanza pure nature of the mind ni nini..then kuna vile unnecessary (Negative) vitu unavi kuza since mdogo mpaka hapo.vinapaswa kuondoka.
Baadhi ya vitu, Aibu,hofu,hasira, anxiety, depressions n.k.
Vipo vingi mnoo,na ni somo refu.
nature of of the mind ni Pure Consciousness.
Fantastic....Kuna kipindi flani zamani kidogo about 18 yrs back,wezi walikuja usiku kwangu wakafanikiwa kufungua mlango wa gari,ikavutwa mpaka karibu na geti wakokomba kila walichoweza,niliposhtuka ndio wanamalizia na wakakimbia.Nilipanic sana nika mjulisha jamaa yangu mmoja hivi akaniambia tuonane jione kuna mtaalamu kuna vitu anafanya utawajua walioiba.Tulipokuwa kwa huyo mtaalamu tukiwa kwenye chumba alinipa maji flani nikanywa akaniambia niangalie kwenye ukuta ambao ni mweupe nisigeuke kulia wala kushoto,ilinichukua kama saa nzima nikaanza kuona kwenye ule ukuta watu jinsi wanavyokuja na gari kutokea mjini mpaka wakafika nyumbani wakachukua gari walikuja na Hiace yao,wakapakia vile walivyoiba na kuondoka,mtu ambaye nilimuona na kumfahamu alikuwa ni rafiki yangu ambaye tulikuwa karibu sana na tunafanya naye ofisi moja,pia mdada mwengine ambaye pia tulikuwa naye ofisi moja.Sikutaka kuamini kabisa kuwa ndio wao waliohusika,kwahiyo nikaondoka pale bila kuamini kuwa nilichokiona ndio kilikuwa uhalisia,Ila baada ya kutoka pale nilisumbuliwa sana na kizunguzungu kilichokaa kwa takribani masaa 6 then nikarudi normal.Nimeandika hii story ninajarbu kuona kuwa inawezekana nilichopewa ikawa ni hiyo Magic mashroom bila ya kujua,kwakua ilikuwa ni kama ninaye angalia movie flani hivi....
Hili swali lako nilikwepa sehemu kulijibu ulipouliza na aliekujibu sina ukaribu na yeye wala hatufamiani pia..Na hii ndio ID yangu ninayotumia most of the time...Nilikuuliza swali..
Ulisoma Jo'burg chuo, right?
Hapo ndo unakutana na concept moja kwenye Taoism inaitwa "WU-WEI"Bahati nzuri,yanapo kuja into your awareness you simply need to notice them and let them go.. don't fight with them wewe ndo utaumia..you simply need to feel them..
Yanapo kuja mara nyingi ndipo yanadis appear..
Ni somo refu mnoo,linahitaji muda
Natamani kwenda huko na mimi kuna kitu nimepoteza,Niliachana na hiyo misheni,nikatafuta tu hela kurudishia vifaa kwenye gari maisha yakaendelea...
Umeanza vzr kwenye comment za mwanzo ila sasa hv umeamua kupotosha.Msisahau pia huwa wengine wakitumia wanajisikia kuliwa tigo ,siongei kwa kutania
Inaonekana una uelewa mpana juu ya hi mada na taadhari zake unazijuaa uko vzr sna DrBahati nzuri,yanapo kuja into your awareness you simply need to notice them and let them go.. don't fight with them wewe ndo utaumia..you simply need to feel them..
Yanapo kuja mara nyingi ndipo yanadis appear..
Ni somo refu mnoo,linahitaji muda
Alfu uzuri umesema ukichezaa tu unaweze kuwa chizi automaticallyBahati nzuri,yanapo kuja into your awareness you simply need to notice them and let them go.. don't fight with them wewe ndo utaumia..you simply need to feel them..
Yanapo kuja mara nyingi ndipo yanadis appear..
Ni somo refu mnoo,linahitaji muda
Ok unaweza kunijibu inbox chief kama hutojali. Ya huko yanaishia huko.Hili swali lako nilikwepa sehemu kulijibu ulipouliza na aliekujibu sina ukaribu na yeye wala hatufamiani pia..Na hii ndio ID yangu ninayotumia most of the time...
Mkuu,hii ni elimu muhimu kuliko elimu zote...hii ni elimu ya kujijua wewe mwenyewe kwanza unavyo operate within.Inaonekana una uelewa mpana juu ya hi mada na taadhari zake unazijuaa uko vzr sna Dr
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyo father yupo sahihi. Yoga na meditation ni ushirikina, Mungu hapendi.Mbona buddhists wanatumia? Sio kila kitu chenye spirirual power ni ushirikina.
Ila sishangai sababu hata meditation kuna watu wanaita ushirikina. Kuna father mmoja aliwahi kusema Yoga ni ushirikina nikaishia kushangaa tu.
Sio lazima kutumia gateway moja kujiconnect na spirituality, usiite gateway ya mwenzako ushirikina kama huna ushahidi
Hakika mkuu,hii ni elimu Adhimu sana..ni elimu ghali mnoo. Imagine sasa hivi mtu ana depression,anaenda hospital hapati msaada wowote wa kisakolojia..unaambiwa very simple tu kwamba punguza mawazo..Nlianzisha mada in form of story kuhusu hii issue lkn mods wakaweka uzi wangu entertainment forum, I found it meaningless sababu ile sio entertainmenr ni education ambayo CEOs, High performing athletes na wasanii wakubwa wanalipia madollars kupata coaches wa kuwasaidia kwenye hilo.
I was just lucky to meet 2 very successful people ambao waliembrace hio concept na kujireset kwenye pure state kisha wakaanza upya. Japo mmoja ni Taoist na mwingine ni Buddhist ila mafundisho yao yote yanaendana at some point
Hapana. Ntakupa jibu refu ambalo nataman ningempa huyo fatherHuyo father yupo sahihi. Yoga na meditation ni ushirikina, Mungu hapendi.