vvti engine
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 188
- 209
Mnataka muwaingize wenzenu kwenye uteja ili ninyi mpige pesa?Tofauti hii haijiotei ovyo bali hupandwa na kukuzwa kwa ungalizi mzuri kwakua ni tiba hii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka muwaingize wenzenu kwenye uteja ili ninyi mpige pesa?Tofauti hii haijiotei ovyo bali hupandwa na kukuzwa kwa ungalizi mzuri kwakua ni tiba hii..
Factory setting ya simu inafuta vitu vyote ulivyoweka wewe mtumiaji vinabaki vya kiwandani,sasa ni kitu gani hasa kinafutwa kwenye mind ya binadamu,kumbuka tangu unazaliwa unajifunza vitu vingi kupitia shule,kanisa,mazingira tofauti,Je hii magic mushroom unamaanisha itafuta kila kitu unachojua kuhusu maisha uliyoishi au inafuta nini?Kiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.
Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Hii ngoma ni next level, japo unaonekana uko negative nayo
Duu mbona uko mbali. Soma hii makala itakusaidia.Hiyo activity mtaiita kwa majina ya kizungu ionekane inavutia ila huo ni ushirikina wa kuvaa nguvu za giza (majini ambayo yatakuongoza uone ulimwengu utakavyo wewe au yatakuongoza wapendavyo wao)
Narudia tena huo ni ushirikina ambao upo hata ukikaa vizuri na wazee wetu watakusimulia na kukuonyesha maeneo unayoweza pata hiyo huduma huko vijijini...
Inabidi ujue kwanza pure nature of the mind ni nini..then kuna vile unnecessary (Negative) vitu unavi kuza since mdogo mpaka hapo.vinapaswa kuondoka.Factory setting ya simu inafuta vitu vyote ulivyoweka wewe mtumiaji vinabaki vya kiwandani,sasa ni kitu gani hasa kinafutwa kwenye mind ya binadamu,kumbuka tangu unazaliwa unajifunza vitu vingi kupitia shule,kanisa,mazingira tofauti,Je hii magic mushroom unamaanisha itafuta kila kitu unachojua kuhusu maisha uliyoishi au inafuta nini?
Huu uongo kabisaa,huyu samaki namla sana Tena mtamu balaa ila sipati hizo hallucinations. Tena wapo aina mbili wanaofanana wanaitwa kibua mbonoSio mushrooms, hadi aina fulani ya samaki ukila unapata hallucinationsView attachment 2524489
Mkuu hii mada iko very interesting,natamani watu wajijue how they operate within..watu wengi wanajiambia kuwa mimi ndivyo nilivyo..mtu akiwa na mahasira anajiambia nmezaliwa hvyo.Huwa nafikiri hata hawa vijana waliongia kwenye wimbi la ushoga wakipatiwa hii kama tiba inaweza kuwasaidia, sababu mara nyingi hayo mambo ni shida inayoanzia kwenye polluted brain au mind. Una kuta mtu hana physical characters zzt za kuwa shoga lkn kuna mambo alipitia/kufanyiwa udogoni ndo yakamfanya aweke akili yake huko. Naamini hii ikifanyiwa utafiti itaweza kusaidia sana pande hizo
Ukiangalia Psychedelic drugs nyingi pia hutumiwa kutibu addictions au traumas mtu alizopitia, ila hii shrooms ina spiritual powers ukiachana na kuwa Psychedelic drug kama zilivyo LSD etc...
Nilikuuliza swali akajibu Kipangaspecial sijui ni akaunti yako pia au jamaa alishoboka.Tofauti hii haijiotei ovyo bali hupandwa na kukuzwa kwa ungalizi mzuri kwakua ni tiba hii..
Bahati nzuri,yanapo kuja into your awareness you simply need to notice them and let them go.. don't fight with them wewe ndo utaumia..you simply need to feel them..Kifupi hii inafungua madudu yote yaliyopo kwenye SUBCONSCIOUS MIND,na kukuacha uchi kabisa upambane nayo live 😅
Hayo madudu ni pamoja na Unprocessed Emotions,Traumas,n.k
Hapo lazima udate mzee..kumbuka hayo madudu umeyaficha kwa muda mrefu mnooo..halafu ghafla yanakuja Live.
Nami nilipelekwa na jamaa yangu lakini niliishia kuona vitu sikuvielewa hivyo sikupata picha kamili walioniibia. Nikaona upuuzi..Kuna kipindi flani zamani kidogo about 18 yrs back,wezi walikuja usiku kwangu wakafanikiwa kufungua mlango wa gari,ikavutwa mpaka karibu na geti wakokomba kila walichoweza,niliposhtuka ndio wanamalizia na wakakimbia.Nilipanic sana nika mjulisha jamaa yangu mmoja hivi akaniambia tuonane jione kuna mtaalamu kuna vitu anafanya utawajua walioiba.Tulipokuwa kwa huyo mtaalamu tukiwa kwenye chumba alinipa maji flani nikanywa akaniambia niangalie kwenye ukuta ambao ni mweupe nisigeuke kulia wala kushoto,ilinichukua kama saa nzima nikaanza kuona kwenye ule ukuta watu jinsi wanavyokuja na gari kutokea mjini mpaka wakafika nyumbani wakachukua gari walikuja na Hiace yao,wakapakia vile walivyoiba na kuondoka,mtu ambaye nilimuona na kumfahamu alikuwa ni rafiki yangu ambaye tulikuwa karibu sana na tunafanya naye ofisi moja,pia mdada mwengine ambaye pia tulikuwa naye ofisi moja.Sikutaka kuamini kabisa kuwa ndio wao waliohusika,kwahiyo nikaondoka pale bila kuamini kuwa nilichokiona ndio kilikuwa uhalisia,Ila baada ya kutoka pale nilisumbuliwa sana na kizunguzungu kilichokaa kwa takribani masaa 6 then nikarudi normal.Nimeandika hii story ninajarbu kuona kuwa inawezekana nilichopewa ikawa ni hiyo Magic mashroom bila ya kujua,kwakua ilikuwa ni kama ninaye angalia movie flani hivi....
dokta nakuchek chembaBahati nzuri,yanapo kuja into your awareness you simply need to notice them and let them go.. don't fight with them wewe ndo utaumia..you simply need to feel them..
Yanapo kuja mara nyingi ndipo yanadis appear..
Ni somo refu mnoo,linahitaji muda
Ilikuwa ni kama movie kabisa ila iko kwenye ule ukuta,kwakuwa tukio lilifanyika usiku hata ile movie ilionekana ni tukio la usiku,lakini kuna mwanga unawaonyesha wahusika,barabara,mataa ya barabarani yote nilikuwa naona live...Nami nilipelekwa na jamaa yangu lakini niliishia kuona vitu sikuvielewa hivyo sikupata picha kamili walioniibia. Nikaona upuuzi..
Wewe uliona sura kabisa kama unaangalia tv au wanakua kama mawingu?