Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Hii ipo njombe ,kule kifanya wanaitumia wachawi wanajua cha kufanyia ni mrorongo ,ukijaribu huwa inaharibu uwezo wako wa uhalisia njano unaona blue, ndoo unaona mbwa ,afu unaweza anza lia msiba wa mwaka juzi kama umeambiwa leo ,wengine wakila wanajificha vichakani ,na stimu yake inachukua muda ila nusu wanakuwa machizi full
Kifanya nimeishi pale mtaa wa mapera hebu nielekeze vzr week hii nataka niende nikamsalimie bibi semayemba
 
Hii ipo njombe ,kule kifanya wanaitumia wachawi wanajua cha kufanyia ni mrorongo ,ukijaribu huwa inaharibu uwezo wako wa uhalisia njano unaona blue, ndoo unaona mbwa ,afu unaweza anza lia msiba wa mwaka juzi kama umeambiwa leo ,wengine wakila wanajificha vichakani ,na stimu yake inachukua muda ila nusu wanakuwa machizi full
[emoji23]
 
Someni hicho kitabu kama ukibahatika kukipata kwa nchi uliopo
Screenshot_20230221_003636_Chrome.jpg
Screenshot_20230221_003700_Chrome.jpg
 
Mkuu ulivuta bhange na haukuona impact yoyote!

Basi ulivuta bhangi changa au bhangi feki!

Mkuu ukija vuta iliyokomaa, hautarudia tena kuidharau na utakuja hapa na uthibitisho ulionyooka kukiri!
Sio kweli, inategemea na kichwa cha mtu, kuna mtu anakunywa kreti nzima ya bia je wewe au mimi naweza? Au utasema hizo bia zilikuwa mbovu.
 
Hello bosses...

Mada za kikubwa watoto wakiwa wamelala

Kuna mzigo unaiitwa magic mushrooms au tuziite shrooms, zinatumiwa kwa mambo ya kiroho na kujiliwaza pia. Ni kama weed kwa baadhi ya watu.

Kwa wale wanaofanya deep meditation pia baadhi wanazitumia kufanya tripping(huko unaweza kutana na wewe mwenyewe, au ukaona vitu fln vya kushangaza ulivopitia anyway sio story ya leo hii).

Je hapa Tanzania zinaruhusiwa? Na zinapatikana wapi kama zinaruhusiwa?
Isije kuwa zinatokea Colombia au Jamaica 🤔
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom