Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Angalia mifano yakutolea ..but nimekuelewa
Point ni relationship kati ya mate ya Yesu na udongo kisha kumpaka yule kipofu. Hatujui kuna formula gani hapo, kwa nini asingesema tu na kipofu akaona?

Na ndo maana nikasema kuna vitu kwenye nature vimebeba nguvu za ziada. So aidha hukuelewa mfano au hukuelewa topic ila mfano ni relevant
 
Ooh wow hapo nimekupata
 
Magic mashroom sio Kileo lkn inauwezo wa kukufanya ujione umelewa kutokana na uwezo wa kichwa chako kinavyoweza kuhimili mihemko utakayo ipata baada ya matumizi...
4C2512E7-1EDA-4AE2-980C-2434218C99E7.jpeg

Vilevile ni tiba asili kabisa kwa wagonjwa lkn lazima upate ushauri wa kutoka kwa mtaalamu wa tiba za asili...
A1DD49BC-E795-45FB-961F-ACB71916CECA.jpeg
 
Magic mashroom sio Kileo lkn inauwezo wa kukufanya ujione umelewa kutokana na uwezo wa kichwa chako kinavyoweza kuhimili mihemko utakayo ipata baada ya matumizi...
View attachment 2524505
Vilevile ni tiba asili kabisa kwa wagonjwa lkn lazima upate ushauri wa kutoka kwa mtaalamu wa tiba za asili...
View attachment 2524507
Hii si inaota hovyo hovyo tu wakati wadogo tulikuwa tunaambiwa sumu sema sasa hivi haioti hovyo hovyo sijui kwa nini
 
Mkuu si hapa nime Google imeniltea hii na nimesoma article yake inaweza kukua popote na kupandwa pia kama uyoga wa kawaida tu
Utakuja kula sumu kwa kuendana na maelezo ya google..

Je unafahamu uyoga umegaeanyika katika aina ngapi tofauti?

Mara nyingi maumbo ya uyoga kutofautisha ni ngumu lkn kwa hii aliyoomba kali linux kufahamu kwamba inaruhusiwa kwa matumizi au laah! Huwa inapandwa na kukuzwa kwa ustadi mkumbwa sana kw sababu ni biashara kubwa sana duniani kote labda wewe pilato93 bado ni mgeni sana kwenye hili...
 
Kwaio mkuu ni kama zilimwavyo bhangi si ndio.. 😎
 
Utakuja kula sumu kwa kuendana na maelezo ya google..

Je unafahamu uyoga umegaeanyika katika aina ngapi tofauti?

Mara nyingi maumbo ya uyoga kutofautisha ni ngumu lkn kwa hii aliyoomba kali linux kufahamu kwamba inaruhusiwa kwa matumizi au laah! Huwa inapandwa na kukuzwa kwa ustadi mkumbwa sana kw sababu ni biashara kubwa sana duniani kote labda wewe pilato93 bado ni mgeni sana kwenye hili...
Mkuu huu uyoga umetengenezwa au ni asili?
 
Kuhusu utakachoona inategemea na wewe mwenyewe. Wengine wanaona past zao, wengine wanaona futures zao, wengine wanaona maisha roho zao zilioishi miaka ya zamani au kwenye maisha mengine kabla ya haya. Japo pia inaweza amsha hisia fln ukabaki unalia tu.

Shida kubwa ni kushindwa kutoka kwenye hio trip, ukiwa stuck humo ndo hio watu wanakua kama chizi fln hv.

Kama umefikia kweli hio level ya meditation unayosema nadhan hapo inatosha au consult na guru wako kwanza kabla ya kujaribu hii kitu coz weed haiingii hata robo hapo
Interesting 🤔.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom