Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Usitamani hata kuijaribi aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitamani hata kuijaribi aiseee
Kuhusu utakachoona inategemea na wewe mwenyewe. Wengine wanaona past zao, wengine wanaona futures zao, wengine wanaona maisha roho zao zilioishi miaka ya zamani au kwenye maisha mengine kabla ya haya. Japo pia inaweza amsha hisia fln ukabaki unalia tu.Mkuu nimefanya sana meditation nimekaribia mpaka astral projection kisha nikaacha
Sasa nataka kujaribu na hii maana kuna baadhi ya mambo siyaelewi elewi
Pia naomba unieleweshe kiundani zaidi inavyofanya kazi namna ya kuitumia na utaona nini baada ya kuitumia
Maana nimetumia mpaka bhangi ila sioni maajabu yoyote
Mkuu ulivuta bhange na haukuona impact yoyote!Mkuu nimefanya sana meditation nimekaribia mpaka astral projection kisha nikaacha
Sasa nataka kujaribu na hii maana kuna baadhi ya mambo siyaelewi elewi
Pia naomba unieleweshe kiundani zaidi inavyofanya kazi namna ya kuitumia na utaona nini baada ya kuitumia
Maana nimetumia mpaka bhangi ila sioni maajabu yoyote
Sio kila mtu bangi inamzingua mfano mm kvant inanipeleka higher kuliko bangiMkuu ulivuta bhange na haukuona impact yoyote!
Basi ulivuta bhangi changa au bhangi feki!
Mkuu ukija vuta iliyokomaa, hautarudia tena kuidharau na utakuja hapa na uthibitisho ulionyooka kukiri!
Watu wanakariri sana.Sio kila mtu bangi inamzingua mfano mm kvant inanipeleka higher kuliko bangi
Mbona buddhists wanatumia? Sio kila kitu chenye spirirual power ni ushirikina.Hiyo activity mtaiita kwa majina ya kizungu ionekane inavutia ila huo ni ushirikina wa kuvaa nguvu za giza (majini ambayo yatakuongoza uone ulimwengu utakavyo wewe au yatakuongoza wapendavyo wao)
Narudia tena huo ni ushirikina ambao upo hata ukikaa vizuri na wazee wetu watakusimulia na kukuonyesha maeneo unayoweza pata hiyo huduma huko vijijini...
Hujui kwamba ushirikina ni imani kama ilivyo ukristo uislam n.k...?Mbona buddhists wanatumia? Sio kila kitu chenye spirirual power ni ushirikina
Basi kwa maneno yako unamaanisha hata huo ukristo, uislam etc.. ni ushirikina, sio?Hujui kwamba ushirikina ni imani kama ilivyo ukristo uislam n.k...?
Kuna ushirikina ambao bado una apply mambo in primitive means na ushirikina unao apply mambo kisasa kuendana na sayansi na Teknolojia
Huyu anadharirisha .. afu imani sio dini ndugu zanguBasi kwa maneno yako unamaanisha hata huo ukristo, uislam etc.. ni ushirikina, sio?
Sa we unauwezo wa yesu au?Mr Director
Spirituality ni issue pana sana, utaishia kuita watu washirikina bure.
Ambacho inabidi kufahamu ni kwamba Nguvu Kuu (kwa wengine ni Mungu au Allah) kaficha vitu vingi kwenye nature, ni kazi yetu binadamu kutumia nature kwa faida yetu ma wala huo sio ushirikina.
Kama unasoma biblia kuna muda Yesu alimponya kipofu kwa tope la mate yake, huo ni mfano tu kuonesha kuna vitu kwenye nature vina uwezo zaidi ya tunaouona kwa macho, vikiwemo hizi shrooms na mambo mengine
Huo ni mfano tu, au hujaelewa topic?Sa we unauwezo wa yesu au?
Angalia mifano yakutolea ..but nimekuelewaHuo ni mfano tu, au hujaelewa topic?
Jambo ambalo watu wengi hamuelewi ushirikina ni imani kama ilivyo ukristo au uislam na dini nyinginezo... Kuna ushirikina wa kisasa na kizamani... Huo mnao ongelea hapa ni ushirikina wa kisasa ndio maana mpo proud kuusema wazi, ila hauna tofaut na ule wa kule Sumbawanga Ludewa Makongorosi Tanga au Tabora nk ambao bado upo in primitive...Mr Director
Spirituality ni issue pana sana, utaishia kuita watu washirikina bure.
Ambacho inabidi kufahamu ni kwamba Nguvu Kuu (kwa wengine ni Mungu au Allah) kaficha vitu vingi kwenye nature, ni kazi yetu binadamu kutumia nature kwa faida yetu na wala huo sio ushirikina.
Kama unasoma biblia kuna muda Yesu alimponya kipofu kwa tope la mate yake, huo ni mfano tu kuonesha kuna vitu kwenye nature vina uwezo zaidi ya tunaouona kwa macho, vikiwemo hizi shrooms na mambo mengine