Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Nmekuambia pia, mushrooms ni njia tu ya shortcut..but njia ya kufikia higher consciousness zipo nyingi na hazijazuliwa wala kuwa controlled na serikali.je unazijua?
Nimekulewa ila sababu ya kuzuia mushroom uliyotoa wewe Mimi sikuona uzito wake,na nilijikita zaidi kuonyesha kwamba madhara ya kiafya na kiakili ndio hasa hasa yana uzito,na kama zipo njia zingine za kufikia high consciousness ni sawa tu,Mimi Sizijui labda utupe somo tu
 
Mkuu haya mambo ni magumu.
Kwanza ondoa notion yako kwamba vitu vizuri vyote serikali huwa inaviruhusu na vitu vibaya vyote huwa inavizuia nadhani hata wewe ni shahidi
 
Naam wewe tuko pamoja.
 
Tuko pamoja mkuu. Vp ilikuaje ukaanza kufuatilia haya mambo mkuu
Ni story ndefu sana nikiweka hapa haitokua sawa maana itahamisha mjadala, nmekuchk PM, Kama itawezekana kuonana kubadilishana mawazo itapendeza zaidi.

Nlidhan nipo peke yangu kwenye hii forum ambae nimeexperience haya mambo lkn naona tupo wengi.
 
Unafahamu kama dawa nyingi za matatizo ya akili (Depression, anxiety,Panic disorders na GAD) hutengenezwa na Mushrooms?
 

Unatakiwa uwe na mtu karibu akusaidie Au inakuwaje,?mbona nimetamani kujiona mpya
 
Unatakiwa uwe na mtu karibu akusaidie Au inakuwaje,?mbona nimetamani kujiona mpya
Kikubwa ni kupata Elimu kutoka kwa mtu mwenye Ufahamu na hayo mambo na mwenye Really Experience...I mean aliye wahi kupitia hyo kitu. Hii kitu inafungua mafaili yote na takataka zote zilizo jificha kwenye SUBCONSCIOUS MIND..na kukuletea kwenye awareness yako..ni jukumu lako ku react on them ama ku respond.

Unatakiwa ku respond badala ya ku react, don't fight with them..just notice them and let them pass.

Mfano wa hizo takataka ni Repressed Emotions (Unprocessed Emotions),chiki,fear, anxiety, depression,guilt,aibu,visasi, confusion.
All of them comes to the light 🕯️ of awareness and they pass

Ni very interesting journey wakuu na ni mada ndefu.
 


Mbona nimependa si ukipata muda utufundishe mada nzuri sanaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…