A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Naomba uniongoze mkuuKiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.
Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Nataka kuitumia hii dose ya siku nneAngalia post no #324
Check online purchaseNataka kuitumia hii dose ya siku nne
Naipataje?
Naitumiaje?
Wewe ni greatest thinkerIbilisi alimwambia Eva
Kula hili tunda
1. Utakuwa kama malaika
2. Utajua mengi
Huenda lile tunda lilikuwa na effects kama hizi za shrooms. Liliwapeleka ktk higher dimensions za consciousness mpaka wakajua mengi.
Ndiyo maana ni hatari sana kula haya makitu. Kwa sababu ukisharudi kwenye normal state unataka immediately urudi kule maana state yako original unaiona kama utupu(emptiness), unakuwa unastrive kutumia tena na tena.
Higher consciousness unaweza kuifikia kwa rehema za Mungu kama ukimtumainia kwa dhati na kujihumble before him completely na kujaribu kuishi maisha clean( mkweli, msaidia viumbe, kutafuta vya halali, kumkumbuka Mwenyezi Mungu etc)
Ayahuasca ni tofauti na Pscilosybin mushroom (magic mushroom) ni jamii ya mmea ambayo inachanganywa na inhibitor fulani ili isiweze kuvunjwavunjwa ikifika tumboni tafuta series ya Mind Field Youtube ya Vsauce utaelewa vingi sana. Jamaa alienda mpaka Amazon.Huku Amazon tunaita Ayahusca na anaesimamia hiyo ibada anajulikana kama Sharman..ni sehemu ya utalii..watu wengi wanaofahamu haya mambo huja kwa ajili ya ibada hii.
We can definitely go Ma'am. Lini utakuwa free?!Anayetaka tupange siku twende hapo Upanga kwenye Temple za wa Hindu tukaulizie kama wanazo na kama watakubali kutupatia/kutuuzia, tujifanye tunahitaji kwa research maana ukienda kizembe hawakupi, ni illegal hiyo,
Nataka niijaribu
Nimechelewa kuiona hii,Mimi hapa mkuu jumapili ni siku nzuri zaidi
Jumapili hiiWe can definitely go Ma'am. Lini utakuwa free?!
Ubarikiwe sana Kaka Mshana
Okay Ma'am, ntakutafuta on Friday nikutumie namba yangu.Jumapili hii
Duuh,hebu ielzee vizuri mkuuSio kweli
Inategemea na uwezo wako wa kuhandle hio kitu, ni kama pombe au weed, kuna watu wanatumia wanakaa vzr lkn kuna watu inawapelekesha, ni kwamba tu hii ni next level stuff, kama kichwa chepesi huwezi handle huo mziki wake, na ndo maana unashauriwa uwe chumba peke yako na ukae hata masaa nane sababu inachukua muda saana kumaliza kazi
Pamoja sana Dr. MariposaUbarikiwe sana Kaka Mshana
A big no; but rather a man without sacred miracles is a man without GodA man without superstition is a man without God.
A big no; but rather a man without sacred miracles is a man without God
Where would You draw a line of difference between Superstitions and Miracles?
MIracles are strictly Godly in such a way that no human powers can perform miracles. Only under the influence of God can human being perform miracles. YSuperstitions are purely satanicWhere would You draw a line of difference between Superstitions and Miracles?
Huu uzi usipokuwa makini naona yatatokea haya ya "tiba asili, anatibu magonjwa sugu, mali bila kafara, pete ya bahati, kumvuta umtakae kwa haraka. Piga namba-----------. Kuweni makini na hizi gharama.