Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Nilitamani wadau waongelee zaidi connections za magic mushrooms apa bongo...Kuna wale walipanga kwenda Temple jumapili...wangekuja kutupa mrejesho...
 
Kiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind...
Kama inafanya factory reset ya mind mana ake mtu akitumia atasahau mpaka jina lake, jinsia yake, umri wake, majna&sura ya wanaomzunguka, mahali alipo, namna ya kula, n.k au vp??
 
Exactly mkuu,ndo maana unahitaji elimu kwanza kabla hujaanza..
Issue ni kwamba Ego ni false Identity ambayo ume create within your mind,,kazi yake ni kukulinda na kazi yake kubwa ni kukuongoza how you relate,how you think,how you behave,hucontrol emotions zako n.k

Imagine hyo Ego automatically imeuawa na Hizo Drug,,means inaanguka.

Then your HIGHEST POWER ambayo ni CONSCIOUSNESS has to take power..😅😅 ambayo ipo always but it was domant not active but baada ya Ego death it has to take full responsibility.

You see ilivyo interested,yaan mfano ulikuwa na kijana wako wa kazi,akajitambulisha yeye ndo boss na ameact kama baba wa nyumba since ulivyo zaliwa mpaka leo una umri huo... Then ghafla kauawa...who will take the power?

Hii ni elimu pana sana, inahitaji muda kuielewa
Hii kitu umeiweka vyema zaidi ya mtoa mada big up💪💪
 
Waacheni hayo mengine wayafanye wenyewe ninyi msidanganyike. Hata walioanza kuuza mihadarati walioanza kwa style hii hii. Leo wanatusumbua kujenga ma soba houses. Waacheni wajifanyie wenyewe hiyo restore facture ya vichwa vyao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haina noma hiyo kitu,Iko kama Sigara bwege,Ukijifanya hazikutoshi ndiyo utajikuta unapaa wakati Mbawa huna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anayetaka tupange siku twende hapo Upanga kwenye Temple za wa Hindu tukaulizie kama wanazo na kama watakubali kutupatia/kutuuzia, tujifanye tunahitaji kwa research maana ukienda kizembe hawakupi, ni illegal hiyo,

Nataka niijaribu
Dear utanistua twende puliiiizzz, nna uhitaji nayooooooo.
 
Kama inafanya factory reset ya mind mana ake mtu akitumia atasahau mpaka jina lake, jinsia yake, umri wake, majna&sura ya wanaomzunguka, mahali alipo, namna ya kula, n.k au vp??
Nataka kujua mie hapaaaa, yaan natamani hii Elimu inifikie kwa Weledi.
 
Msiguse hii kitu.

Huenda ndiyo tunda lenyewe la mti wa katikati.

Ina alter consciousness, na inaweza kuinvite demons wakakuvagaa, wakawa wanakuletea vision za kukupotosha huku ukidhani umeugundua ukweli( reality)
Mmmh! Navutiwa na hii kitu! Inaonekana weed ikasome[emoji848]
 
Sio kweli

Inategemea na uwezo wako wa kuhandle hio kitu, ni kama pombe au weed, kuna watu wanatumia wanakaa vzr lkn kuna watu inawapelekesha, ni kwamba tu hii ni next level stuff, kama kichwa chepesi huwezi handle huo mziki wake, na ndo maana unashauriwa uwe chumba peke yako na ukae hata masaa nane sababu inachukua muda saana kumaliza kazi
Duh! Ule ushibe kabisa na unywe maji yakutosha! Ina hang_over kama ganja!!? Arosto je ipo! Ni addictive!!!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom