Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Nilitamani wadau waongelee zaidi connections za magic mushrooms apa bongo...Kuna wale walipanga kwenda Temple jumapili...wangekuja kutupa mrejesho...
 
Kiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind...
Kama inafanya factory reset ya mind mana ake mtu akitumia atasahau mpaka jina lake, jinsia yake, umri wake, majna&sura ya wanaomzunguka, mahali alipo, namna ya kula, n.k au vp??
 
Hii kitu umeiweka vyema zaidi ya mtoa mada big up💪💪
 
Waacheni hayo mengine wayafanye wenyewe ninyi msidanganyike. Hata walioanza kuuza mihadarati walioanza kwa style hii hii. Leo wanatusumbua kujenga ma soba houses. Waacheni wajifanyie wenyewe hiyo restore facture ya vichwa vyao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haina noma hiyo kitu,Iko kama Sigara bwege,Ukijifanya hazikutoshi ndiyo utajikuta unapaa wakati Mbawa huna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anayetaka tupange siku twende hapo Upanga kwenye Temple za wa Hindu tukaulizie kama wanazo na kama watakubali kutupatia/kutuuzia, tujifanye tunahitaji kwa research maana ukienda kizembe hawakupi, ni illegal hiyo,

Nataka niijaribu
Dear utanistua twende puliiiizzz, nna uhitaji nayooooooo.
 
Kama inafanya factory reset ya mind mana ake mtu akitumia atasahau mpaka jina lake, jinsia yake, umri wake, majna&sura ya wanaomzunguka, mahali alipo, namna ya kula, n.k au vp??
Nataka kujua mie hapaaaa, yaan natamani hii Elimu inifikie kwa Weledi.
 
Msiguse hii kitu.

Huenda ndiyo tunda lenyewe la mti wa katikati.

Ina alter consciousness, na inaweza kuinvite demons wakakuvagaa, wakawa wanakuletea vision za kukupotosha huku ukidhani umeugundua ukweli( reality)
Mmmh! Navutiwa na hii kitu! Inaonekana weed ikasome[emoji848]
 
Duh! Ule ushibe kabisa na unywe maji yakutosha! Ina hang_over kama ganja!!? Arosto je ipo! Ni addictive!!!?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…