Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Duh! Hiyo ya njombe ni OG sana haina mbolea za viwandani[emoji1787][emoji1787] watugee zile za GMO zitakua zimepoa makali
 
Naitaji kujua zaidi kwenye hii post yako japo sijui ninini nahitaji kujua ila na hisi kuna kitu nahitaji kukujuia au kusikia kutokea hapa
 
Sasa hii kitu inatumikaje kwanza labda hapa nitaanza pata mwanga! Unaichoma kama ubani, unaivuta kama bhangi, unaichemsha kama supu, unainywa kama chai, au ni kipande cha mashroom unakitafuna kama kisheri!!!? Pia unaitumia kiroho au unaitumia tu kama kilevi au starehe kama bangi!? Na vitu utakavyo viona kama unatumia mara ya kwanza, je!? Ndio vitu hivyo hivyo utakavyoendelea kuviona huko mbeleni unapoendelea kutumia!!!? Sijawahi ona mfano wa mtu alietumia hii labda naweza fananisha na script moja ya mission kwenye video_game GTA5 kuna mahala michael alipewa kitu kama weed, baada ya kuivuta akaanza kuona aliens .....! Sijui ndio hiyo..!
 
Mkuu ulivuta bhange na haukuona impact yoyote!

Basi ulivuta bhangi changa au bhangi feki!

Mkuu ukija vuta iliyokomaa, hautarudia tena kuidharau na utakuja hapa na uthibitisho ulionyooka kukiri!
Shida ya ganja mawazo, inaweza ikang'ang'ania kwenye swala moja mpaka ukashangaa, kuna muda ikakupa majibu na kuna muda ikakuvuruga na kukuachia mswali lukuki, uzuri wake inakuonyesha mistakes zako zooote ambazo kikawaida usingezijua, ukabaki unatoa macho kama mjusi!



Kama kichwa cha mtu anaetumia ganja na kika imili je! Anaweza kuhimili huu mzigo!!!?
 
Sio kila mtu bangi inamzingua mfano mm kvant inanipeleka higher kuliko bangi
Ulevi wa pombe na bhangi ni tofauti mkuu! Mimi nikivuta na nikanywa pombe hua nasikia vilevi viwili tofauti kabisa! Ni kama mafuta na maji! Ila pombe kwangu hua naona hovyo sana na nimeacha kabisa
 
Watu wanakariri sana.

Hizi nervous systems ziko tofauti kwa kila mtu na zinarespond tofauti tofauti.

Hapa naweza kukuelewa kwa uzuri kabisa!

Inakuaje shroom ika affect same way!!? Ili kuitumia unatakiwa kuchukua hatua gani!!?
 
Kuna hasara sana kuzaliwa mjini! Nimepitwa na mengi kumbe
 
Unaweza vuta au kutafuna
Stimu hazitofanana mkuu! Kitu cha kuvuta na kula au kunywa stimu haziwezi fanana, hata wale wanao jidunga wanapata stimu tofauti kabisa na wanao vuta japo ulevi ni huo huo unga, ila kwa story ya hii kitu kama ikitokea nimeipata mkononi nitachagua kuivuta kuliko kuitafuna nadhani ndio italeta majibu mubashara kabisa
 
Hivi na huu uyoga wanao u promo na kuuza mbegu huku mtaani unatofauti gani na huo dawa!!? Unaladha gani!!? Ukila una effect gani unapata mpaka waunadi hivyo!
 
Vp kuhusu kukwama kwenye hiyo safari na usirudi kama ulivyo tarajia!!? Bahati mbaya utakua hujijui ila hawa wa huku nje watakusaidiaje urudi!!!?
 
Mushroom unaweza vuta au kutafuna

Hii ya kuvuta haina effect sana kama ya kutafuna.

Kama unataka kuitumia kwa tripping wanashauri uitafune sio kuvuta
Nipe utofauti wa matumizi yote mawili! Yani kama ukivuta nini kinatokea na kama ukiila nini kinatokea! Hiyo tripping unayo ongelea, ukiwa umevuta na ukiwa umeitafuta ipi ni probability au possibility ya kurudi salama!!!?
 
Vp kuhusu kukwama kwenye hiyo safari na usirudi kama ulivyo tarajia!!? Bahati mbaya utakua hujijui ila hawa wa huku nje watakusaidiaje urudi!!!?
Hili ni somo pana mkuu, linahitaji muda..
 
Kiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.

Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Duh! Hii nzuri ila inatisha sana! Sh ngapi huu mzigo
 
Nilikua na swali kama lako ila nilikua nashindwa niliulizeje kwa ufasaha[emoji2956][emoji2962]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…