Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Kuhusu utakachoona inategemea na wewe mwenyewe. Wengine wanaona past zao, wengine wanaona futures zao, wengine wanaona maisha roho zao zilioishi miaka ya zamani au kwenye maisha mengine kabla ya haya. Japo pia inaweza amsha hisia fln ukabaki unalia tu.

Shida kubwa ni kushindwa kutoka kwenye hio trip, ukiwa stuck humo ndo hio watu wanakua kama chizi fln hv.

Kama umefikia kweli hio level ya meditation unayosema nadhan hapo inatosha au consult na guru wako kwanza kabla ya kujaribu hii kitu coz weed haiingii hata robo hapo
 
Mkuu ulivuta bhange na haukuona impact yoyote!

Basi ulivuta bhangi changa au bhangi feki!

Mkuu ukija vuta iliyokomaa, hautarudia tena kuidharau na utakuja hapa na uthibitisho ulionyooka kukiri!
 
Sio kila mtu bangi inamzingua mfano mm kvant inanipeleka higher kuliko bangi
Watu wanakariri sana.

Hizi nervous systems ziko tofauti kwa kila mtu na zinarespond tofauti tofauti.

Ila mizigo kama shrooms wengi zinawapa same effect sababu ina spiritual power pia lkn weed au pombe inategemea sana na mtu alivyo
 
Hiyo activity mtaiita kwa majina ya kizungu ionekane inavutia ila huo ni ushirikina wa kuvaa nguvu za giza (majini ambayo yatakuongoza uone ulimwengu utakavyo wewe au yatakuongoza wapendavyo wao)
Narudia tena huo ni ushirikina ambao upo hata ukikaa vizuri na wazee wetu watakusimulia na kukuonyesha maeneo unayoweza pata hiyo huduma huko vijijini...
 
Mbona buddhists wanatumia? Sio kila kitu chenye spirirual power ni ushirikina.

Ila sishangai sababu hata meditation kuna watu wanaita ushirikina. Kuna father mmoja aliwahi kusema Yoga ni ushirikina nikaishia kushangaa tu.

Sio lazima kutumia gateway moja kujiconnect na spirituality, usiite gateway ya mwenzako ushirikina kama huna ushahidi
 
Mr Director

Spirituality ni issue pana sana, utaishia kuita watu washirikina bure.

Ambacho inabidi kufahamu ni kwamba Nguvu Kuu (kwa wengine ni Mungu au Allah) kaficha vitu vingi kwenye nature, ni kazi yetu binadamu kutumia nature kwa faida yetu na wala huo sio ushirikina.
 
Sa we unauwezo wa yesu au?
 
Jambo ambalo watu wengi hamuelewi ushirikina ni imani kama ilivyo ukristo au uislam na dini nyinginezo... Kuna ushirikina wa kisasa na kizamani... Huo mnao ongelea hapa ni ushirikina wa kisasa ndio maana mpo proud kuusema wazi, ila hauna tofaut na ule wa kule Sumbawanga Ludewa Makongorosi Tanga au Tabora nk ambao bado upo in primitive...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…