kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
- Thread starter
-
- #41
Point ni relationship kati ya mate ya Yesu na udongo kisha kumpaka yule kipofu. Hatujui kuna formula gani hapo, kwa nini asingesema tu na kipofu akaona?Angalia mifano yakutolea ..but nimekuelewa
Ooh wow hapo nimekupataPoint ni relationship kati ya mate ya Yesu na udongo kisha kumpaka yule kipofu. Hatujui kuna formula gani hapo, kwa nini asingesema tu na kipofu akaona?
Na ndo maana nikasema kuna vitu kwenye nature vimebeba nguvu za ziada. So aidha hukuelewa mfano au hukuelewa topic ila mfano ni relevant
Unaweza vuta au kutafunayani unavuta hiyo kitu kama bangi ?
Hizii ndo zile uyoga ukila unakufa au😲Magic mashroom sio Kileo lkn inauwezo wa kukufanya ujione umelewa kutokana na uwezo wa kichwa chako kinavyoweza kuhimili mihemko utakayo ipata baada ya matumizi...
View attachment 2524505
Vilevile ni tiba asili kabisa kwa wagonjwa lkn lazima upate ushauri wa kutoka kwa mtaalamu wa tiba za asili...
View attachment 2524507
Hii si inaota hovyo hovyo tu wakati wadogo tulikuwa tunaambiwa sumu sema sasa hivi haioti hovyo hovyo sijui kwa niniMagic mashroom sio Kileo lkn inauwezo wa kukufanya ujione umelewa kutokana na uwezo wa kichwa chako kinavyoweza kuhimili mihemko utakayo ipata baada ya matumizi...
View attachment 2524505
Vilevile ni tiba asili kabisa kwa wagonjwa lkn lazima upate ushauri wa kutoka kwa mtaalamu wa tiba za asili...
View attachment 2524507
Hapana hizi ni very magical and very powerful after using it sio zile poison...Hizii ndo zile uyoga ukila unakufa au😲
😂 😂 😂 😂 Hapa utaambiwa sio hii ilikuwa inaota hovyo hovyo tu sema now ni adimu kweli, semeni kama deal nianze kwenda shamba nikaitafuteHizii ndo zile uyoga ukila unakufa au😲
Tofauti hii haijiotei ovyo bali hupandwa na kukuzwa kwa ungalizi mzuri kwakua ni tiba hii..Hii si inaota hovyo hovyo tu wakati wadogo tulikuwa tunaambiwa sumu sema sasa hivi haioti hovyo hovyo sijui kwa nini
Mkuu si hapa nime Google imeniltea hii na nimesoma article yake inaweza kukua popote na kupandwa pia kama uyoga wa kawaida tuTofauti hii haijiotei ovyo bali hupandwa na kukuzwa kwa ungalizi mzuri kwakua ni tiba hii..
Utakuja kula sumu kwa kuendana na maelezo ya google..Mkuu si hapa nime Google imeniltea hii na nimesoma article yake inaweza kukua popote na kupandwa pia kama uyoga wa kawaida tu
Kwaio mkuu ni kama zilimwavyo bhangi si ndio.. 😎Utakuja kula sumu kwa kuendana na maelezo ya google..
Je unafahamu uyoga umegaeanyika katika aina ngapi tofauti?
Mara nyingi maumbo ya uyoga kutofautisha ni ngumu lkn kwa hii aliyoomba kali linux kufahamu kwamba inaruhusiwa kwa matumizi au laah! Huwa inapandwa na kukuzwa kwa ustadi mkumbwa sana kw sababu ni biashara kubwa sana duniani kote labda wewe pilato93 bado ni mgeni sana kwenye hili...
Kumbe zinauzwa😔nilijua wajichumia tuu..Hela yako tu..Pitia hizi comments vizuri utaona location wapi unaweza pata huduma hii kama upo Dar Es Salaam
Ndio tena ile indoor weedfarmingKwaio mkuu ni kama zilimwavyo bhangi si ndio.. 😎
Mkuu huu uyoga umetengenezwa au ni asili?Utakuja kula sumu kwa kuendana na maelezo ya google..
Je unafahamu uyoga umegaeanyika katika aina ngapi tofauti?
Mara nyingi maumbo ya uyoga kutofautisha ni ngumu lkn kwa hii aliyoomba kali linux kufahamu kwamba inaruhusiwa kwa matumizi au laah! Huwa inapandwa na kukuzwa kwa ustadi mkumbwa sana kw sababu ni biashara kubwa sana duniani kote labda wewe pilato93 bado ni mgeni sana kwenye hili...
Hii ni Mother Nature plantations....Mkuu huu uyoga umetengenezwa au ni asili?
Itakua ni zile asili ambazo zilipotea na chache zilizobaki zikageuka kuwa deal.. Maybe😂😂 😂 😂 😂 Hapa utaambiwa sio hii ilikuwa inaota hovyo hovyo tu sema now ni adimu kweli, semeni kama deal nianze kwenda shamba nikaitafute
Interesting 🤔.Kuhusu utakachoona inategemea na wewe mwenyewe. Wengine wanaona past zao, wengine wanaona futures zao, wengine wanaona maisha roho zao zilioishi miaka ya zamani au kwenye maisha mengine kabla ya haya. Japo pia inaweza amsha hisia fln ukabaki unalia tu.
Shida kubwa ni kushindwa kutoka kwenye hio trip, ukiwa stuck humo ndo hio watu wanakua kama chizi fln hv.
Kama umefikia kweli hio level ya meditation unayosema nadhan hapo inatosha au consult na guru wako kwanza kabla ya kujaribu hii kitu coz weed haiingii hata robo hapo