Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Mkuu ulivuta bhange na haukuona impact yoyote!

Basi ulivuta bhangi changa au bhangi feki!

Mkuu ukija vuta iliyokomaa, hautarudia tena kuidharau na utakuja hapa na uthibitisho ulionyooka kukiri!
Huku nilipo unaweza kupata hata mbichi ukapika mboga
 
dokta nakuchek chemba
Karibu mkuu..mimi nilisuffer anxiety na depression kwa miaka miwili...nilitumia madawa kuanzia Lorazepam,Fluoxetine n.k ,tumia sana chumvi kuogea 😅 hakuna kilicho nisadia..ndipo nkapata hii elimu kwa namna ya ajabu mnoo,na nkaanza kupractice...

Hayo madepression yamekuwa ni historia kwangu sasa..

Hakuna battle ngumu kama ya Mind wakuu 😅
 
Kuna kipindi flani zamani kidogo about 18 yrs back,wezi walikuja usiku kwangu wakafanikiwa kufungua mlango wa gari,ikavutwa mpaka karibu na geti wakokomba kila walichoweza,niliposhtuka ndio wanamalizia na wakakimbia.Nilipanic sana nika mjulisha jamaa yangu mmoja hivi akaniambia tuonane jione kuna mtaalamu kuna vitu anafanya utawajua walioiba.Tulipokuwa kwa huyo mtaalamu tukiwa kwenye chumba alinipa maji flani nikanywa akaniambia niangalie kwenye ukuta ambao ni mweupe nisigeuke kulia wala kushoto,ilinichukua kama saa nzima nikaanza kuona kwenye ule ukuta watu jinsi wanavyokuja na gari kutokea mjini mpaka wakafika nyumbani wakachukua gari walikuja na Hiace yao,wakapakia vile walivyoiba na kuondoka,mtu ambaye nilimuona na kumfahamu alikuwa ni rafiki yangu ambaye tulikuwa karibu sana na tunafanya naye ofisi moja,pia mdada mwengine ambaye pia tulikuwa naye ofisi moja.Sikutaka kuamini kabisa kuwa ndio wao waliohusika,kwahiyo nikaondoka pale bila kuamini kuwa nilichokiona ndio kilikuwa uhalisia,Ila baada ya kutoka pale nilisumbuliwa sana na kizunguzungu kilichokaa kwa takribani masaa 6 then nikarudi normal.Nimeandika hii story ninajarbu kuona kuwa inawezekana nilichopewa ikawa ni hiyo Magic mashroom bila ya kujua,kwakua ilikuwa ni kama ninaye angalia movie flani hivi....
Mwishowe ilikuwaje? Hauku_deal na wale "wezi" wako?
 
Mi sijawahi tumia ila kijijini kwetu kifanya njombe huwa kuna mlima ipo ukiziona ziko kama mboo hivi wanachuma wanakausha wateja huwa waganga wa kienyeji.hakuna alietumia akabaki salama ,pia kuna chizi alitumia akapona kabisa tena ule uchiz wa kuzaliwa hadi leo ana mke n'a watoto n'a kijana mwema
 
Duu hii ni kali sana
Mi sijawahi tumia ila kijijini kwetu kifanya njombe huwa kuna mlima ipo ukiziona ziko kama mboo hivi wanachuma wanakausha wateja huwa waganga wa kienyeji.hakuna alietumia akabaki salama ,pia kuna chizi alitumia akapona kabisa tena ule uchiz w
 
Hii ipo njombe ,kule kifanya wanaitumia wachawi wanajua cha kufanyia ni mrorongo ,ukijaribu huwa inaharibu uwezo wako wa uhalisia njano unaona blue, ndoo unaona mbwa ,afu unaweza anza lia msiba wa mwaka juzi kama umeambiwa leo ,wengine wakila wanajificha vichakani ,na stimu yake inachukua muda ila nusu wanakuwa machizi full
Naona mnataarifa ya haya maswala

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimefanya sana meditation nimekaribia mpaka astral projection kisha nikaacha

Sasa nataka kujaribu na hii maana kuna baadhi ya mambo siyaelewi elewi

Pia naomba unieleweshe kiundani zaidi inavyofanya kazi namna ya kuitumia na utaona nini baada ya kuitumia

Maana nimetumia mpaka bhangi ila sioni maajabu yoyote
Ni Nini hiii
 
Tupe Hilo somo
Bahati nzuri,yanapo kuja into your awareness you simply need to notice them and let them go.. don't fight with them wewe ndo utaumia..you simply need to feel them..

Yanapo kuja mara nyingi ndipo yanadis appear..

Ni somo refu mnoo,linahitaji muda
 
Mkuu nimefanya sana meditation nimekaribia mpaka astral projection kisha nikaacha

Sasa nataka kujaribu na hii maana kuna baadhi ya mambo siyaelewi elewi

Pia naomba unieleweshe kiundani zaidi inavyofanya kazi namna ya kuitumia na utaona nini baada ya kuitumia

Maana nimetumia mpaka bhangi ila sioni maajabu yoyote
SAS uitumia utapata pesa,Kama inaleta pesa Ni mihimu San uwai uiapply

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom