Je, Magufuli amemfunika Nyerere kwa waombolezaji kwa sababu ya mtandao au ni kweli?

Ni ufinyu wa fikra kulinganisha wingi wa watu katika misiba. Msiba sio sehemu ya mashindano.Hivi nini dhima ya elimu yetu?
 
Tumemzika salama ndugu yetu hayati Rais wetu, shujaa wetu, kiongozi wetu, mpendwa wetu, mbabe wa mabeberu


Ila kwenye msiba huu nimejua ni namna mabeberu walivyokua wanamuogopa magufuli
 
Achana na waimba mapambio hao.
Walipenda kujiaminisha kuwa Jiwe ataishi na kutawala milele. Sasa, baada ya Mungu wa kweli kuweka mkono wake, waache wajiliwaze kwa mambo ya kuokoteza.
 
Rais wa Majitu Manyonge!!! Hayana mchango kwake. wala taifa!! Yapoyapo tu!! Yalidanganywa weee!! Yskifikiri vana nafuuu!!

Bombardier hayapandi kamwe!! Hata ikulu hayakuwahi kualikwa kula bata.yalifanywa ngazi.

Yamelala hoi. Mbinguni hayaendi yanasubili tu kuchomwa moto!! Hata yalie vipi bomba dear ni ya matajiri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yapata bilioni nne kwa mujibu wa taarifa za serikali na vyombo mbali mbali vya habari. Pia kama ulikuwepo 1999 linganisha uliyoona juzi na jana na yale ya mwaka tajwa utapata jibu bila kuhitaji msaada wangu mwanangu. SIyo kila kitu lazima usaidiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…