JE MAGUFULI<=>kama<=> NYERERE( Njoo tumuunde Rais kwa mfano wetu)

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
1,028
Reaction score
1,790
President_Nyerere_van_Tanzania,_koppen,_Bestanddeelnr_928-2879_(cropped).jpg
_20250317_112324.JPG

Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu.

Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango.

Kuna kufanya vizuri na kuna kuweka viwango(set standards) unakua mfano kwa wakufuatao./igwa

Kwa mtazamo wangu awamu hizo mbili ni ideal for the Government of URT||JMT

Fikra zetu; "tungekua na kiongozi wa aina/sifa hizi angetufaa sana" surprisingly walishakuepo.

Tofauti ya mitazamo wa wananchi dhidi ya utawala kigezo kikuu ni mgongano wa kimasrahi.

Sasa tukiweka siasa (vyama) na mgongano wa kimasrahi pembeni, wewe binafsi kwa maoni na mtizamo wako ungependa raisi anayetakiwa kuiongaza Tanzania awe wa namna gani!? au awe na sifa kuu zipi!?

Itapendeza ukitaja sifa zisizopungua tano, tusiishie tu kukosa na kulaumu tumwage wino hapa kupata Tanzania Idealistic President.

Karibuni...
 
NIKIICHUKUA HII MADA NIKAIANZISHA MIMI WATAJAZANA VILEVILE. Ila nina mashaka Al-mukheef mbona unaupromoti sana kana kwamba ni wa kwako? au una id ngapi mkuu
Duh!
Yani mimi niweze kuwaongelea Nyerere na Magufuli kweli! na wakati sijui chochote kuhusu siasa
Huu uzi niliukuta tu wakati nasubiria daku nikaona bora nipoteze muda pamoja na kumkejeli muanzisha mada.
 
Si vema sana kuwalinganisha Mwl. JKN na Dr. JPM kutokana na wao kuongoza Taifa hili katika zama tofauti. Ukitaka kumlinganisha JPM tuanze na awamu ya 3; hao ndiyo viongozi wa zama zake. Na kiukweli JPM amewapita sana na ame-set standard ambayo kila Rais ajaye anapaswa kuifikia au ikipendeza kuipita.
Katiba hii hii ndiyo aliitumia Mwl. JKN na alijua ina mianya ya kumruhusu kuwa dikteta (hii ni kauli yake mwenyewe).Kwa kutambua udhaifu huo wa Katiba, Dr. JPM aliiutumia kuimarisha nguvu za mamlaka yake katika kila jambo, kiasi cha kuwaudhi baadhi ya watu! Kipindi chake Mwl. JKN alipata kufanya makosa, lakini alikuwa mwepesi kukiri hadharani na hata kuomba radhi, na mpaka aliandika kijitabu kidogo 'Tujisahihishe' ili kuwafanya viongozi wenzake kujirudi. Tofauti na Mwl. JKN; Dr. JPM aliamini katika mawazo na maono yake, na alipata kusema kuwa yeye ashauriki (alikuwa sawa maana Katiba haimlazimishi Rais kukubali ushauri wa mtu yeyote). Pia Dr. JPM alipata kusema hadharani kuwa akiondoka madarakani (kwa namna yeyote), haamini kama atatokea mwingine kuendeleza au kufanya kama yeye!
Kwa maoni yangu, si sahihi sana kumlinganisha JKN na JPM.
Nawasilisha.
 
Mkuu sijawalinganisha ila kwa maoni yangu nimeelezea kua uongozi wao ulikua ni wa viwango vya juu,

Pia nikasema wadau wataje sifa wanazoona zinafaa kwa kiongozi mkuu ili kuliongoza taifa kwa viwango vya juu...
Sasa tukiweka siasa (vyama) na mgongano wa kimasrahi pembeni, wewe binafsi kwa maoni na mtizamo wako ungependa raisi anayetakiwa kuiongaza Tanzania awe wa namna gani!? au awe na sifa kuu zipi!?

Itapendeza ukitaja sifa zisizopungua tano, tusiishie tu kukosa na kulaumu tumwage wino hapa kupata Tanzania Idealistic President.
Kwa maana watu wengi wanalalamika tu akija huyu hafai bora yule akija yule hawezi labda mwingine...

Sasa waliowengi wanaonekana kama hawajui wanachokitaka

Lengo ni kila mmoja kwa maoni yake aweke orodha ya sifa ambazo yeye anaona kama raisi akiwa na hizo Sifa basi ni anatufaa...
 
Si vema sana kuwalinganisha Mwl. JKN na Dr. JPM kutokana na wao kuongoza Taifa hili katika zama tofauti. Ukitaka kumlinganisha JPM tuanze na awamu ya 3; hao ndiyo viongozi wa zama zake. Na kiukweli JPM amewapita sana na ame-set standard ambayo kila Rais ajaye anapaswa kuifikia au ikipendeza kuipita.
Katiba hii hii ndiyo aliitumia Mwl. JKN na alijua ina mianya ya kumruhusu kuwa dikteta (hii ni kauli yake mwenyewe).Kwa kutambua udhaifu huo wa Katiba, Dr. JPM aliiutumia kuimarisha nguvu za mamlaka yake katika kila jambo, kiasi cha kuwaudhi baadhi ya watu! Kipindi chake Mwl. JKN alipata kufanya makosa, lakini alikuwa mwepesi kukiri hadharani na hata kuomba radhi, na mpaka aliandika kijitabu kidogo 'Tujisahihishe' ili kuwafanya viongozi wenzake kujirudi. Tofauti na Mwl. JKN; Dr. JPM aliamini katika mawazo na maono yake, na alipata kusema kuwa yeye ashauriki (alikuwa sawa maana Katiba haimlazimishi Rais kukubali ushauri wa mtu yeyote). Pia Dr. JPM alipata kusema hadharani kuwa akiondoka madarakani (kwa namna yeyote), haamini kama atatokea mwingine kuendeleza au kufanya kama yeye!
Kwa maoni yangu, si sahihi sana kumlinganisha JKN na JPM.
Nawasilisha.
Mkuu tulinganishie basi JPM na SSH
 
View attachment 3273778View attachment 3273779

Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu.

Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango.

Kuna kufanya vizuri na kuna kuweka viwango(set standards) unakua mfano kwa wakufuatao./igwa

Kwa mtazamo wangu awamu hizo mbili ni ideal for the Government of URT||JMT

Fikra zetu; "tungekua na kiongozi wa aina/sifa hizi angetufaa sana" surprisingly walishakuepo.

Tofauti ya mitazamo wa wananchi dhidi ya utawala kigezo kikuu ni mgongano wa kimasrahi.

Sasa tukiweka siasa (vyama) na mgongano wa kimasrahi pembeni, wewe binafsi kwa maoni na mtizamo wako ungependa raisi anayetakiwa kuiongaza Tanzania awe wa namna gani!? au awe na sifa kuu zipi!?

Itapendeza ukitaja sifa zisizopungua tano, tusiishie tu kukosa na kulaumu tumwage wino hapa kupata Tanzania Idealistic President.

Karibuni...
Rais kakwambia kaa na mavi yako tumboni mwako mpaka nyumbani kwako unamuona wa viwango?
 
Back
Top Bottom